Humphrey Polepole ana codes

Humphrey Polepole ana codes

Ila sisi wepesi sana kusahau.
Mzee wa vieiteee Leo katema bungo Kawa shujaa.
 
Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Hapa ndo hawa jamaa wanavyotuweza unakuta miaka na miaka anatufanyia ushenzi halafu anasoma upepo akiwa nje ya system anajifanya kurudi kwetu.
 
Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Sidhani kama Slow Slow ataikataa 'asali'. Tusubiri baada ya October 2025
 
Back
Top Bottom