Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 6,252
- 11,657
Polepole njoo US tule bata, mafala watakupoteza , lile mother shetani limeamua kuwa dictator, Kalewa madaraka na machawa
Sio kwa njia ya kawaida lazima atasafiri kwa maelekezo asije geuka jiwe la chumvi over...Huyu ndio polepole OG wa enzi za mabadiliko ya katiba, alipokua mwenezi alivaa ngozi ya kondoo kumbe ni chui. Balozi ni chui kweli kweli, sasa ameuvaa uhalisia wake,
KARIBU TANZANIA
Mambo mengine yanataka kutumia akili either unazo au huna.Polepole njoo US tule bata, mafala watakupoteza , lile mother shetani limeamua kuwa dictator, Kalewa madaraka na machawa
True or false... za uchochoroni hao ni mahasimu wawili toka baba na sasa watoto.. ukitaka muuwa agent mpelekee wakufanana naye but mission mojaKama Magufuli pamoja na kuusikilizisha umma utaahira wa Makamba na Napę hakuona sababu ya kuuwa ndoto zao za muda mrefu wa siasa.
Hawa walio wakata leo watu hao hao (ambao most likely itakuwa wameropoka tena).
Lakini waliowakata leo huko chini unadhani wanafikiria siasa za 2025 au kuondoa influence yao come 2030.
Huyo mama ni mateka tu wa mafisadi, hajui hata anachokifanya hapo Ikulu.
Mtanikumbuka kwa mema sio kwa mabaya hiyo message sio muda mrefu ita make sense kwa watu naive kama Napę na Makamba; ambao walikuwa wanamtukana Magufuli na account fekero humu,
Be real and stand on what you believe, eventually things will fall into place; that’s life,
🚮🗑️Mambo mengine yanataka kutumia akili either unazo au huna.
Kama vile, we hamnazo.
Sums up my opinion of you (shallow).
It’s deeper, kuna watu wanafikiria 2030.True or false... za uchochoroni hao ni mahasimu wawili toka baba na sasa watoto.. ukitaka muuwa agent mpelekee wakufanana naye but mission moja
Sidhani.Mda si mrefu ataungana na Mange kuanza kubagaza serikali au ataheshimu viapo vyake !?
Achana na mambo ya kufahamiana.Kumbe ulisoma azania tunaweza kua tunafahamiana
Polepole anasameheka kuliko huyo vampire aliyekunywa damu ya mzee kibaoWewe kibaka na huyo Polepole mtueleze Ben Rabiu Saanane mlimfanyia yote yale kwa sababu gani , wakati alitoa maoni binafsi kama katiba inavyompa mtu uhuru kutoa maoni .
Polepole hajamaliza baada ya hili aombe radhi kwa yaliyofanywa akiwa kwenye kile kiti enzi za dikteta wa Chato.
Leo hii Chato ni kama Gbadolite kwa Joseph Mobutu.
Madaraka ni kitu cha kupita usiumize watu kisa madaraka hata huyu Samia atapita na kutoka hapo juu kuna watu watakuja kujifanya wasafi baada ya kuwa nje ya viti vya maamuzi wakati kipindi wapo walivitumia kuumiza watu.
Maisha anayoishi mjukuu wa mzee Kibao tangu mwaka jana sio sawa na anayoishi mjukuu wa Samia naye aitwaye Samia maana yule wa mzee Kibao tuliomuona kwenye picha akiwa na babu yake hana babu tena wa kucheza nae na kumsimulia hadithi wakati wa Samia anaishi katika raha bila kuwaza hata kuna kutekwa ,kutolewa macho na kumwagiwa tindikali maana anaye babu anayelindwa 24/7 huku akisikia kauli ya kishenzi kwamba babu yake amekufa sababu kifo ni kifo.
Wajukuu hawa wawili daima wakikutana nadhani hakutakuwepo na usalama huko siku za usoni.
Kwenye hili bado Polepole anadaiwa madeni yake ya awamu ya 5.
Ulikuwa na point ila kumtaja Jiwe umeharibu. Huyo alikuwa laana ya TaifaMh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
so whats ur opinion broSIO kila balozi ni TISS and by the way Hata wewe apo unaweza ukawa TISS ila bila kujitambua mkuu.
HP akiwa ana madeni ya awamu ya 5, sidhani kama aliyekuwa Makamu wa Rais atayakwepa madeni hayoKwenye hili bado Polepole anadaiwa madeni yake ya awamu ya 5.
MKo "bize" kutengeneza michongo ya kuiba kura.Wakati mko bize na Mh. Balozi Polepole mjue sie CCM tupo bize na mchakato wa Uchaguzi Mkuu! Tusijelaumiane huko mbele!!
Mgombea urais bado hamjampata. Mchakato wenu wa kumpata mgombea urais utakapoanza ndio utajua kumbe hamkuwa bizeWakati mko bize na Mh. Balozi Polepole mjue sie CCM tupo bize na mchakato wa Uchaguzi Mkuu! Tusijelaumiane huko mbele!!
Nae anahusika kabisa sijamtoa kwenye kapu hilo.HP akiwa ana madeni ya awamu ya 5, sidhani kama aliyekuwa Makamu wa Rais atayakwepa madeni hayo
Azania ya wapi? Si alisoma Kwa Benjamin au ni 5 Levels?Tangu azania tunamjua