SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 49,971
- 75,049
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Kamaliza form iv 2000 nadhaniKumbe ulisoma azania tunaweza kua tunafahamiana
Imegoma kwani imekua ya ATM 😄😂😂😂Hahaha kwani karudisha kadi ya ccm tayari au imegoma?
Balozi, kama mwakilishi wa Rais, huenda kaulizwa yanayoendelea nchini, akakosa majibu, kama Mamlaka iliyomteua imeshindwa au haitaki kueleza ukweli wa matukio yanayolalamikiwa km kuzuia waumini wa kanisa la Gwajima kuabudu kwa imani yaoUsikute mabeberu wamemlazimisha huko.
Ushahidi unaendelea kukusanywa.
Azania,halafu akawa na visafari vya nje kupitia vi-ngos,kumbe trainingAzania ya wapi? Si alisoma Kwa Benjamin au ni 5 Levels?
📌📌📌Polepole hajamaliza baada ya hili aombe radhi kwa yaliyofanywa akiwa kwenye kile kiti enzi za dikteta wa Chato.
Wewe ulimua BEN SAA NANE ukishirikiana na Polepole na JPM.Damu ya Ben na iwe juu ya vizazi vyako vyoterikiMh Balozi amejiuzulu akiwaziaza nje ya Taifa. Ila khwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja penedwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Hahaha ile ni zaidi ya ATM muulize baba levo na mwihaku na babutale.Imegoma kwani imekua ya ATM 😄😂😂😂
Yaliyopita si ndwele, tugange yajayo!Wewe kibaka na huyo Polepole mtueleze Ben Rabiu Saanane mlimfanyia yote yale kwa sababu gani , wakati alitoa maoni binafsi kama katiba inavyompa mtu uhuru kutoa maoni .
Polepole hajamaliza baada ya hili aombe radhi kwa yaliyofanywa akiwa kwenye kile kiti enzi za dikteta wa Chato.
Leo hii Chato ni kama Gbadolite kwa Joseph Mobutu.
Madaraka ni kitu cha kupita usiumize watu kisa madaraka hata huyu Samia atapita na kutoka hapo juu kuna watu watakuja kujifanya wasafi baada ya kuwa nje ya viti vya maamuzi wakati kipindi wapo walivitumia kuumiza watu.
Maisha anayoishi mjukuu wa mzee Kibao tangu mwaka jana sio sawa na anayoishi mjukuu wa Samia naye aitwaye Samia maana yule wa mzee Kibao tuliomuona kwenye picha akiwa na babu yake hana babu tena wa kucheza nae na kumsimulia hadithi wakati wa Samia anaishi katika raha bila kuwaza hata kuna kutekwa ,kutolewa macho na kumwagiwa tindikali maana anaye babu anayelindwa 24/7 huku akisikia kauli ya kishenzi kwamba babu yake amekufa sababu kifo ni kifo.
Wajukuu hawa wawili daima wakikutana nadhani hakutakuwepo na usalama wala amani huko siku za usoni tukijaliwa kuwepo utaweza kusikia sasa vile visasi vya kifamilia kama amabvyo tuliwahi sikia kwa nchi jirani hakika huu haukuwa utamaduni wa mtanzania hapo kabla.
Kwenye hili bado Polepole anadaiwa madeni yake ya awamu ya 5.
Order ilishatolewa mapema kwamba,Ukijua kiundani maana ya TISS na vitengo vyake ( categorization) unaweza gundua hata informant Ambaye ni Mbea tu anaweza akatumiwa Kwa KAZI za TISS na asiwe TISS. TISS is more than a title it is a role and purpose behind it. Kuna watu humu SIO TISS ila najua kabisa wanapenyeza na kupenyezewa TAARIFA Ambazo ni very crucial Kwa TISS humu jukwaani.
Mfano Kuna post Ambazo kitengo ikiziona Huwa wanaweka Kambi hapo na kukusanya au kufatilia taarifa hizo kiundani na zinaweza zikawa zimetoka Kwa MTU WA Kawaida tu (mere man). Kwamfano Nina jua account za watu kama 10 hivi Top spy wa nchi wanazitumia kudondosha taarifa indirect na wanaweka Kambi kwenye hizo account kuangalia reaction ya watu.
Wanayoyafanya kina Polepole wameyapima muda mrefu sana na wanajua faida zake na hasara na maamuzi Mfano ya Polepole yako very calculated na wanakikundi Chao kabisa chenye nguvu ya dora kama vile TISS na Vyombo vya usalama vinawapa backup na soon Movement Yao itasambaa na wataungana na wapinzani wa kweli Kudai mabadiliko SI Kwa kujiunga na wapinzani Bali kusukuma kete za wapinzani Ili wapate nguvu ya umma na pia WA win trust Hadi ya wapinzani (CHADEMA). Na ndio máana kuna SIku nilitaja Hapa Kuwa ORDER OF POTENTIAL CANDIDATE AND PROSPECT CANDIDATE FOR PRESIDENCY NI GWAJIMA THEN LISSU.... kwanza niweke koma Hapa Niko safarini mpeni salamu Mh. MAJALIWA...LUAGA MPINA...POLEPOLE...HECHE...LEMA...GWAJIMA...LISSU...SLAA... na wale WAZEE walio jiuzuru they combo will be unstoppable
Mgombea wa chama gani? Kama ni CCM Mgombea Urais ni Rais Samia na Mgombea Mwenza ni Dk. Nchimbi. Kama ulikuwa huna taarifa, basi ipokee!Mgombea urais bado hamjampata. Mchakato wenu wa kumpata mgombea urais utakapoanza ndio utajua kumbe hamkuwa bize
Kwamba zamisha mtubwi tuzame wote?Ukitaka kujuwa mambo yatakuwa moto mpaka kila mtu aimbe wimbo wa Taifa chumbani... nani mwenye codes za serikali yatano... ukiangalia move ya Kakoko, alafu Makamo, next Majaliwa huwitaji macho sita unahitaji kujuwa drop ina sababu.. Sema sasa hao jamaa ni miamba walikuwa karamu ya mwisho na hiyo karamu hata hao wana angaika nao hawakuwepo wengine wamesema wanarudi uraiani wamekoma utumishi boss hasomi mchezo hasomi maandiko Vile maafa ya sodoma na gomora yalitokea same princple inatumika kwenye huu mchezo... Israel wana principe ina itwa samson principal... over
Mh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End
Sikusema now yupo Tz amefikaje na anajiamini nini huu mtiti ni mzitoMh Balozi amejiuzulu akiwa nje ya Taifa. Ila kwa sisi wana kusaka codes taarifa zinatuambia yule kijana ni mzalendo wa shule moja pendwa Aza Boy. Ama u aweza sema Azania.
Ameshika nafasi nzito na pia amekaa karibu na washika button na wakati mwingine alikabidhiwa azishike je nani ako nyuma yake?
Tafuta mwenyewe ukikutana na majini usirudi kutusimulia... Remember JPM. End