Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,467
- 60,894
Mtaimba sana kila nyimbo...
Tangu azania tunamjua
Tangu azania tunamjua
Huu ni ukweliMadaraka ni kitu cha kupita usiumize watu kisa madaraka hata huyu Samia atapita na kutoka hapo juu kuna watu watakuja kujifanya wasafi baada ya kuwa nje ya viti vya maamuzi wakati kipindi wapo walivitumia kuumiza watu.
Slaa ni tiss ndioDkt Slaa alikua Tiss?
Mimi pia nimo ?! 😳SIO kila balozi ni TISS and by the way Hata wewe apo unaweza ukawa TISS ila bila kujitambua mkuu.
Kwani kuna shida kama anasimamia Uzalendo?Slaa ni tiss ndio
Lakini ukishakuwa Baloz kabla ya ku report kuna miezi kadhaa unaenda kupikwa.....SIO kila balozi ni TISS and by the way Hata wewe apo unaweza ukawa TISS ila bila kujitambua mkuu.
Wewe ambaye sio mpuuzi lete nondo za 20158Natamani sana tungepata watu weledi wa kutufungulia 'codes' katika hiyo hatua aliyochukua Polepole ila wapuuzi tu ndio wametangulia kujadili hapo juu! Naitamani sana ile Jamiiforums ya kabla ya 2015! Tulikua na watu humu bwana!
Hakuna shido, slaa ni mtumishi anaetimiza majukumu yake kikamilifuKwani kuna shida kama anasimamia Uzalendo?
_UnderlinePolepole ni kipenyo pia
Lipi hilo mkuu?KUNA JAMBO FULANI LINAKUJA
Huelewi hata ninazungumza nini , niliyemtaja kwenye ujumbe anaelewa vizuri nilichokiandika.Muulize Mbowe anajua.
Rostam azizi na genge lake la wahuni na bakwata awataki kabisa viongozi wazalendoTanzania inahitaji viongozi wazalendo
Mbowe anajua pia.Huelewi hata ninazungumza nini , niliyemtaja kwenye ujumbe anaelewa vizuri nilichokiandika.
Wewe Vieiteee ndio iliyokuuma tuIla sisi wepesi sana kusahau.
Mzee wa vieiteee Leo katema bungo Kawa shujaa.
We unamwinaje slaa wale ndo wanaiuza chadema kila sikuDkt Slaa alikua Tiss?
Dr Ndlovu aliliona miaka mitatu iliyopita.KUNA JAMBO FULANI LINAKUJA
mengi tu.ila tushasahau Leo tuna muona shujaaWewe Vieiteee ndio iliyokuuma tu
Na wewe tuambie soka,mdude na wengine wengi 84 kama taarifa ya TLS ilivyo sema wako wapi?awamu ya sita imewaficha wapi?Wewe kibaka na huyo Polepole mtueleze Ben Rabiu Saanane mlimfanyia yote yale kwa sababu gani , wakati alitoa maoni binafsi kama katiba inavyompa mtu uhuru kutoa maoni .
Polepole hajamaliza baada ya hili aombe radhi kwa yaliyofanywa akiwa kwenye kile kiti enzi za dikteta wa Chato.
Leo hii Chato ni kama Gbadolite kwa Joseph Mobutu.
Madaraka ni kitu cha kupita usiumize watu kisa madaraka hata huyu Samia atapita na kutoka hapo juu kuna watu watakuja kujifanya wasafi baada ya kuwa nje ya viti vya maamuzi wakati kipindi wapo walivitumia kuumiza watu.
Maisha anayoishi mjukuu wa mzee Kibao tangu mwaka jana sio sawa na anayoishi mjukuu wa Samia naye aitwaye Samia maana yule wa mzee Kibao tuliomuona kwenye picha akiwa na babu yake hana babu tena wa kucheza nae na kumsimulia hadithi wakati wa Samia anaishi katika raha bila kuwaza hata kuna kutekwa ,kutolewa macho na kumwagiwa tindikali maana anaye babu anayelindwa 24/7 huku akisikia kauli ya kishenzi kwamba babu yake amekufa sababu kifo ni kifo.
Wajukuu hawa wawili daima wakikutana nadhani hakutakuwepo na usalama huko siku za usoni.
Kwenye hili bado Polepole anadaiwa madeni yake ya awamu ya 5.
Taarifa ile ilisomwa mbele ya Jumanne Muliro ikiwa ni siku chache tu tangu Sativa atekwe.Na wewe tuambie soka,mdude na wengine wengi 84 kama taarifa ya TLS ilivyo sema wako wapi?awamu ya sita imewaficha wapi?