Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.

Mungu ampe maisha marefu. Aseme yote ili wana nzengo tusiendelee kufanganywa
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Hivi kosa la polepole ni lipi, kule kusema ukweli dhidi ya wahuni wanaoshikilia dola hapa nchini? Hapa mtu wa kuuliwa ni Kikwete, Mze Makamba na Rostam Aziz waliopanga na kufanikiwa kumuua Rais wetu kipenzi mtetezi wa wanyonge in Magufuli. Hawa watu si wa kuwachekea hata kidogo, ni wahujumu uchumi na hawastahili kuishi hata kidogo, umesikia Baba Levo?
 
TOKA MAKTABA :

Mexico City
20 August 1940

Hatima ya Leone Trotsky uhamishoni

1756605984561.jpeg

Picha : Leone Trotsky ktk mazungumzo na umma kila mara alipokuwa uhamishoni

Leon Trotsky mkosoaji wa utawala wa Russia ya Kisovieti akiwa uhamishoni Turkey, France na kisha Mexixo alikuwa mwiba mkali kwa matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kuwasiliana na waliobaki ndani ya Russia ya Kisovieti na pia wafuatliaji walio katika diaspora, akiwasiliana nao kwa mazungumzo, maandishi ya kuchochea mabadiliko na kuondoka utawala nganganizi wa Joseph Stalin

Kifo cha Leon Trotsky mkosoaji mkuu wa utawala wa Joseph Stalin wa Russia ya Kisovieti katika jiji la Mexico City, akiwa uhamishoni mbali na nyumbani

Tarehe 20 Agosti 1940 akiwa Mexico city uhamishoni baada ya kukwepa utawala wa mkono wa chuma wa Russia ya Kisovieti ashambuliwa kwa kupigwa na mhafidhina chawa ....

Kihistoria wakati wa makuzi ya Leon Troisky kuanzia mwaka ...Russia ya Kisovieti iliona idadi ya watu ikikua sambamba na umasikini wa kutupwa ...

Huku mabwanyeye wa kitaifa bourgeoisie wakileta maendeleo ya vitu kama uchimbaji wa makaa ya mawe, ujenzi wa miundo mbinu ya reli ikijengwa kuifungua nchini ..

Hata hivyo pamoja na maendeleo ya vitu ... pia makundi yenye mawazo mbadala tunduizi pia yakizidi kukosoa na kujadili hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii iliyoshindwa kuleta ugawaji keki ya kitaifa kwa maendeleo ya watu na hivyo kundi la watu tunduizi kuongeza vuguvugu la mabadiliko ...

MFAHAMU ZAIDI TROTSKY : bofya :
 
Ukiandika upuuzi huu kama fisadi sawa.

Lakini kama unaandika kama kijana ambae umepangiwa nyumba ya ku-share na mafisadi ili uchangie upuuzi mitandaoni ni tatizo.

Kama ni wa kutumwa elewa ushakuwa conditioned psychologically; wewe ni inferior ambae uwezi kuona fursa zozote za maisha nje ya CCM.

Wakati Tanzania ina fursa luluki kwa vijana nje ya siasa kama nchi ingekuwa na viongozi wazuri.

Yaani bila ya kuwa fisadi, kuitetea CCM ya Samia; wewe ni msukule unae hitaji kukombelewa.

Mtu kama Polepole ndio anapambania kuwatoa kuwa misukule.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Wewe ndiye utakufa kabla yake kunguni wewe
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Wajinga kama nyie mnatakiwa muondolewe hata kwa kupigwa Risasi Ili Tanzania ipone.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
HP amekutieni mimba sasa mnatema mate ovyo wapumbavu wakubwa nyie
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote.

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Lengo lake ni kuiangusha Nchi ,naunga mkono hoja
 
Hadi sasa matumizi ya TEHAMA ndugu Humphrey Polepole ameishinda timu kubwa iliyopo Ofisi Ndogo Makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba Dar es Salaam pamoja na idara ya habari ya MAELEZO iliyo chini ya Prof. Palamagamba Kabudi

1756631266676.jpeg

1756631354713.jpeg

Humphrey Polepole na matumizi yake teknolojia ya habari na mawasiliano yamevutia wengi.
 
Hadi sasa matumizi ya TEHAMA ndugu Humphrey Polepole ameishinda timu kubwa iliyopo Ofisi Ndogo Makao Makuu ya CCM mtaa wa Lumumba Dar es Salaam pamoja na idara ya habari ya MAELEZO iliyo chini ya Prof. Palamagamba Kabudi

TOKA MAKTABA:

08 December 2024

Prof. Kabudi sasa kuongoza Vyombo vya Habari vya serikali kujaribu kushinda propaganda / information war kuelekea 2025 na mbele zaidi​

Uteuzi wa Profesa Palamagamba Kabudi, ni hatua nzito ya serikali kujipanga kushinda vita ya habari yaani propaganda.
1733669810370.jpeg

Vyombo kama TBC, TBC radio, Habari Leo Daily News, Idara ya Maelezo vimekuwa vikisinzia kuitetea serikali ya awamu ya 6 kiasi ya kuwa vyombo vya mitandao ya kijamii vimeibuka washindi katika kuunda sura (ku shape ) ya yanayoendelea nchi huku vyombo vya umma ya serikali na vile vya habari vya chama dola kongwe tawala CCM vikikosa wasikilizaji, wasomaji na wachangiaji (comments) iwe katika lugha ya KiSwahili au Kiingereza

Hivyo hatua ya uteuzi wa leo aliopewa Prof. Palamagamba Kabudi ni kujaribu kurudisha mizania kuegemea upande wa serikali na chama tawala au angalau kuweka mzania sawa balanced kutoka hali ya sasa ambapo vyombo vya habari vya umma vya kieletroniki, radio, televisheni vimeshindwa vita hii ya habari information war
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Adhabu ya kunyongwa yanamstahili mtu ambaye kamuuzia Rostam mgodi wa makaa ya mawe badala ya nchi kununua.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Wana mtandao mnamuogopa Polepole sana
 
60 Billion Kiziga kmmmk husemi akamtwe unakalia Polepole hv Mara vile

Sheikh wanakudandia Nini ?
 
Back
Top Bottom