Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

Humphrey ahukumiwe kifo in absentia

Wameziba masikio na kujikuza kupita Jamhuri / Republic na kujivika ufalme / umalkia wakidai ni Mungu ndiyo amewachagua na mbaya zaidi baadhi ya viongozi wa kiroho / imani nao wamehongwa kurudia wimbo ni Mungu ndiyo aliyemsimika kiongozi wa CCM kuwa rais
Ndio shida yao! Ukishazaliwa binadamu ni lazima ukubali kupokea ukosoaji, hata manabii wa Mungu walipitia magumu ili wapate kufanya kazi ya Mungu vyema!
Sasa Rais anaungwa mkono na wachawi mara machifu baadaye wachungaji na masheikh yaani ni kulazimisha kula ugali pilau na mlenda pamoja na Konyagi wakati mmoja
 
Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

Chukueni maamuzi magumu kama kule Congo kama kweli Humphrey Polepole ni mwiba kwa utawala wa Samia Hassan

30 September 2025

hakama ya kijeshi ya Kongo yamhukumu kifo rais wa zamani Kabila bila kuwepo mahakamani

01 Oktoba 2025 - 09:00
Na Reuters

Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila.

Picha: REUTERS/Arlette Bashizi Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila.
Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku ya Jumanne ilimhukumu kifo rais wa zamani Joseph Kabila bila kuwepo mahakamani, na kumtia hatiani kwa uhalifu ukiwemo uhalifu wa kivita.
Luteni Jenerali Joseph Mutombo Katalayi, ambaye aliongoza mahakama ya kijeshi katika mji mkuu, aliiambia mahakama kuwa Kabila alitiwa hatiani kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya uhaini, uhalifu dhidi ya binadamu, mauaji, unyanyasaji wa kingono, mateso na uasi.
Kabila alitumia takriban miongo miwili madarakani na alijiuzulu baada ya maandamano mabaya dhidi yake. Tangu mwishoni mwa 2023, amekuwa akiishi zaidi Afrika Kusini, ingawa alitokea Goma inayoshikiliwa na waasi mashariki mwa Kongo mwezi Mei.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Kwa nini ahukumiwe wakati mnaua watu bila hukumu?
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Hii ni baada ya kubugia mabakuli yako kadhaa ya urojo! Ukavimbiwa! Baada ya hapo ukaanza sasa kutapika tu hewa chafu mdomoni. Hivi sijui Nyerere aliwaza nini kuungana na vilaza kama nyinyi.
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
akinyongwa ndio utaacha kugawa matyako?
 
1. Kwanini Mheshimiwa asihukumiwe kifo in absentia? Siku akikamatwa ni utekelezaji tu ufanyike pale Uwanja wa Uhuru mchana peupe ili iwe fundisho kwa wote

2. Anatumia lugha ya kuudhi na uhaini. Adhabu yake NI KUNYONGWA HADI KUFA.
Nenda kamnyonge sasa.
Unasubiri Nini ?
 
Back
Top Bottom