Human Nature

Duuh unaona nafaa kuwa mtumishi kweli???

By the way mtu akiniona for the first time, he/she may say he/she meet an angelπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Am very saint and decent by face and looking.

I don't talk unnecessary but for sure I know myself.
but for sure I know myself. πŸ“Œ
Kwa hiyo sentence πŸ‘†
Hapo umemaliza
 
Pamoja na kuwa hisia zipo katika asili ya mwanadamu bado wakati mwingine tunaweza kwenda dhidi ya hizo hisia.mfano moyo wako unapenda sehemu ambapo hupendwi au kitu ambacho hauna uwezo nacho, automatically akili yako itatakiwa kuwa imara zaidi ya moyo/hisia zako ili upate kukiacha ndo ile unaumia lakini huna chaguo ila kuendelea na mengine tu..

Hata kuchukia kitu/mtu nayo ni asili yetu lakini kwa sababu chuki ni kitu kinacholeta matokea mabaya ndo vile tunapaswa kujilazimisha kwa kutumia akili zetu kumfanyia mema tunayemchukia au kukaa nae mbali ili tu chuki isikue ikaleta madhara.
 
Ni kweli kabisa
Hisia sio shida
Ila tu uchaguzi wako ni nini baada ya kupata hisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…