Human microchips analysis

mshana jr haya mambo naona wasabato wanayahubiri kweli kweli,kisha wanafanya refence kwenye vitabu vya yule mama hellen , kisha waanza kuilink na kanisa katoliki kisha wanamalizia na papa.

Wasabato wana ugomvi asilia na wakatolic
 
Last edited by a moderator:

Mshana jr hii kitu mimi nimeisoma zaidi ya miaka 10 nyuma ila kiukweli siitii akilini. Ni sawa na Y2K na 2012 kuwa mwisho wa dunia, na mpaka leo dunia ipo. Kwa nilivyosoma na kufahamu juu ya hii microchip wanayoiongelea wao sio ya kuwekwa mwilini ila ni Debit card au Credit card na Cellphone ndio hio chip yenyewe. nitafafanua juu ya Debit na Credit card hizi watafatilia manunuzi yako yote na jinsi unavyoipata hela yako pia kuhusu Cellphone inakufatilia kila mienendo yako. ndio maana utaona kila apps unayoidownload inatapa permission ya location yako.
 
Hivo vi chips vinatumia battery ya saa au?
Vina kaa mda gani mwilini?

Vitawekwa kwa hiari au lazima?
 
mshana acha uongo bhana, kwahiyo watu tutakuwa tunatembea kama farasi na nira???? another conspirancy.
 
Kwa kweli kama ndivyo hivyo, hali ni mbaya sana. Ila kama yalishaanza vile, kuwahimiza baadhi ama viongozi wa Africa wafuate wayatakayo wao, na uzuri umeoutoa mfano hapo juu Mr Mshana Jr, hata Babu yetu wa Taifa, na wengine uliowataja kiufupi, hawakuachwa nyuma walivyokuwa wakionyesha kutofautiana nao. Shukurani Mshana Jr kwa hili.

Ahsante!
 
Kuna siku niliwahi kutoa hoja humu ama kuuliza, uzuri pia wapo walionielewa na pia waliofanya utafiti huo mdogo wakagundua hilo, ni kwamba kama unatumia simu inayosapoti internet, ukiwa unafanya labda ku-download kitu ama unatuma (send) kitu, wakati pale inapokuwa ina-load ama kutuma, kama haukuishikilia hiyo simu mkononi, inachukuwa muda kweli kwenda ama kuhitimishika, ila ukiishika mkononi, ni haraka sana ina-respond kukamilishika. Nikahoji, simu hizi zina uhusiano gani na damu? Wengi hawakuelewa, ila leo kwa maada hii, nazidi kukushukuru mshana jr.

Ahsante!
 
Mkuu haya mambo kitambo yasha planiwa..... kwa kipindi cha miaka 20 ijayo haya mambo yatakuwa dunian kote....
 
Daah mshanaa amakweli wewe ni Google ya jf
Mimi nilisikiaga jujuuu tu nikaaminii hivyo vituu havitakua karnee hii ilaa kwa jinsi technology inavyo kuakwa kasii na wazungu wanaifanya cheap...hakya nani.....utasikia mwaka 2025 su 2030 hutaweza kusafiri kwenda us au British bila kufungiwa hivyo vidude...!!
 
Hili jambo liliandaliwa miaka mingi iliyopita,bila shaka linahusiana na NEW WORLD ORDER
 
Hili jambo liliandaliwa miaka mingi iliyopita,bila shaka linahusiana na NEW WORLD ORDER
Hivi Vitu vikiisha tolewa hadharani ujue kuwa kila kitu kimeshawekwa sawa na utekelezaji unaendelea na hakuna wa kuwazuia, tumetanguliwa fikra na kila kitu
 
Ungeendelea tuu mr, lakini sina hakika kama shetani ndie alie asisi utengenezaji wa pombe, ukuzingatia shetani zaidi ya uasi na uongo hamna chochote alicho kifanya au atakachokifanya tangu aumbwe. Kwake yeye anachokipata ni kushindwa tuu.
 
Wapi ilianza hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…