Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

kwa mujibu wa ripota wangu ni kamba wanaendelea kuisoma.amelalamika kwamba spika zao zimechoka sana,zinazizima tu.
Sasa watuhumiwa wote wako huru isipokuwa Zombe peke yake ndo kabakia tusubiri maamuzi ya mwisho.

Leo spika zilikuwa zinasikika vema kwa walio nje
 
ni kweli kabisa ,haki haipo.
Wote wameachiwa akiwemo Zombe na Mahakama (ambapo haki ndipo ilipo) imeamua kuwafutia mashtaka isipokuwa ikalitaka jeshi la Polisi kuwasaka waliohusika na mauaji kwani hawa watuhumiwa hawakuhusika.

Daima Haki ipo Mahakamani, na hii ilikuwa Mahakama Kuu ya Tanzania!
 
jamani si kila mtuhumiwa ni muovu. Jamii ya kitanzania imejenga imani kuwa polisi akiyuhumiwa basi ni muovu. Kwa mujibu wa mahakama yetu tunayojivunia kutenda haki, jamaa yuko safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Tuendelee kujifunza zaidi.
 
Pamoja na kwamba kuna utawala wa sheria, lakini kwa hali halisi ya mazingira ya kesi iliokua ikimkabili Zombe na kwa kuzingatia ripoti ya kamati ilioundwa kuchunguza suala hili, kweli naona kuna uwalakini mkubwa sana kwa Zombe kuwa huru.

Swali ni Je, nani aliewaua hao watu...? Nashauri upande wa walalamikaji yaani serikali wakate rufaa mara moja kuelekea mahakama ya Rufani, kule hakuna mchezo na ndiko wanasheria halisi walipo...!
 
Hatutaki hatutaki invisible...mahakama gani hiiii
Mkuu Naminyo, daima sheria huwa tunataka ichukue mkondo wake, na hali ndivyo ilivyokuwa.

Tarajia hali kama hii hii kwenye kesi za EPA n.k.

Inafurahisha sana, Mungu ibariki Tanzania
 
Haki haipo kabisa jamani,kuna hatari ya watu kujichukulia sheria mkononi. Jaji Masati ni jaji mzuri,yawezekana ushahidi haukutosheleza. Yule shahidi marehemu alikuwa muhimu sana.
 
Back
Top Bottom