Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,447
Sasa watuhumiwa wote wako huru isipokuwa Zombe peke yake ndo kabakia tusubiri maamuzi ya mwisho.kwa mujibu wa ripota wangu ni kamba wanaendelea kuisoma.amelalamika kwamba spika zao zimechoka sana,zinazizima tu.
Leo spika zilikuwa zinasikika vema kwa walio nje