zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,935
Kaka umenigusa sana zombe ni fisadi aliyeua watu very directly akina mramba , rostam ,el , jkm, karamagi na wenzao wanatuua watanzania polepole so mi nafikiri zombe ahukumiwe kunyongwa instantly na hao mafisadi wengine tuwakamate tuwaue taratibu leo unakata mguu wa kulia a month later wa kushoto unasubiri miezi miwili unakata mkono naamini kwa stahili hii tanzania itanyooka tu.
Kuhusu zombe, mramba, el, karamagi na wenzao, sina la kusema, lakini, kuhusu Rostam na JMK, nataka utueleze wamemuua nani? sio utueleze kitu ambacho unakurupuka tu, uwe na data za kutosha, kwani kumtuhumu kuua ni kosa! haya lete vitu...