Hahaha dah atakuja Bernie Sanders huku....tehteh. Ila mahakama haziingiliwiSafi sana wazungu nyinyi ndo imebaki kimbilio letu sio hizi mahakama zetu .
Kwani simunapewa nyinyi ccm zile pesa za word benk ili mukanunue wapinzani na mupigie kampeniBasi wamchangie Mbowe na genge lake kama wanataka.
Hakuna cha kupewa simu wala nini. Au ndio mnavyofanya huko ufipa?Kwani simunapewa nyinyi ccm zile pesa za word benk ili mukanunue wapinzani na mupigie kampeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nishaanza kuhifadhi viwalo vyangu vyema.Mwakani mjiandae kuvaa mitumba na kukosa mpaka panadol hospitali. Vikwazo vya marekani havijawahi kumwacha mtu salama.
Jamani tunaelekea wapi mbona kama US haitupendi tena
That is the reason ndugu...ni masuala ya kiuchumi...ule mradi wa energy pale ubungo ambapo Obama alifika nadhani uko shakani...huko kwenye madini nako kumebanwa sanaThe US has never been this active to Tanzania's politics. What is happening? Too much attention now than ever. Why!
My bet is on the Barrick saga and new tighter regulations in the mining sector - just to mention a few!
Democracy, HR violations are mere excuses.
Huu mchezo wa kijinga wa CCM, utaangamiza taifa amani huwa inaondoka taratibu sana ila inatoweka mara moja tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kwenye nchi ambazo ni vibaraka wao hawa jamaa huwasikii hata siku moja kutoa neno.Democracy ya marekani ilimpa ushindi Trumpet wakati Hillary alikuwa na kura nyingi za majority. Sawa na Bush aliposhinda wao hiyo ndio wameona inafaa. Mahakama zetu zipo huru na hawawezi kutufanya chochote kile mbuzi kabisa.