Hukumu ya Viongozi wa CHADEMA: Seneti ya Marekani yadai Tanzania ni vigumu kuwa na Uchaguzi Huru 2020

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,577
6,582
The conviction of @ChademaTZ members, incl. @freemanmbowetz, on spurious charges, is more evidence of deteriorating political space & freedoms in #Tanzania. The govt's efforts to criminalize the opposition further undermines the possibility of democratic polls later this year.
Adjustments.JPG

===
Seneta wa Marekani kupitia ukurasa wake wa Twitter anaeleza kuwa kufuatia mashtaka waliopewa viongozi mbalimbali wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni moja kati ya alama inayoashiria ukosefu wa uhuru wa kisiasa Tanzania.

Ameongeza kuwa, juhudi ambazo Serikali inatumia katika kuwatuhumu viongozi wa kisiasa wa Upinzani inaondoa uwezekano wa kuwa na uchaguzi huru na haki kwa mwaka huu.
 
Mbona sisi wananchi tumeshastukia mchezo mapema sana na Ndio maana tukahamasishana kuanza kutoa michango ya fedha ili tu kuwaonyesha kuwa game wanayoicheza haina mtaji wowote kwao.

Master plan wa chama Cha kijani ajipange sana akili zetu zishajitambua.

Ova
 
The US has never been this active to Tanzania's politics. What is happening? Too much attention now than ever. Why!

My bet is on the Barrick saga and new tighter regulations in the mining sector - just to mention a few!

Democracy, HR violations are mere excuses.
 
Democracy ya marekani ilimpa ushindi Trumpet wakati Hillary alikuwa na kura nyingi za majority. Sawa na Bush aliposhinda wao hiyo ndio wameona inafaa. Mahakama zetu zipo huru na hawawezi kutufanya chochote kile mbuzi kabisa.
 
The US has never been this active to Tanzania's politics. What is happening? Too much attention now than ever. Why!

My bet is on the Barrick saga and new tighter regulations in the mining sector - just to mention a few!

Democracy, HR violations are mere excuses.
That is the reason ndugu...ni masuala ya kiuchumi...ule mradi wa energy pale ubungo ambapo Obama alifika nadhani uko shakani...huko kwenye madini nako kumebanwa sana
 
Huu mchezo wa kijinga wa CCM, utaangamiza taifa amani huwa inaondoka taratibu sana ila inatoweka mara moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona ndoto kama wazee wetu wsmastagu wasipokuwa makini waweza pata matatizo makubwa sana hasa kwenye chakula nk wanahitaji umakini sana. Dont trust any one. Ndoto tu jamani labda nimeshiba sana
 
129 Reactions
Reply
Back
Top Bottom