Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,973
- 32,365
Kwa maoni yangu nadhani hakuna tulilojifunza na hatutakaa tujifunze kama Watanzania mfumo wao wa kufikiri utaendelea kuwa huu huu wa bora liende, kwa nini!!??
Kama kujifunza tulipaswa kujifunza kutoka kwenye kauli ya Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani kwamba Mahakama haziko huru.
Kama hiyo haitoshi tangu nizaliwe kwa mara ya kwanza nilisikia Mahakama imekaa saa 8 za usiku na kutoa notice ya kuzuia mgomo wa Walimu.
Bado pamoja na Mtikila kushinda kesi ya mgombea binafsi Mahakama kuu lakini Serikali ikashikiza kupitia Mahakama ya Rufaa iliyoketi na Jopo la majaji 7 wakiongozwa na Jaji mkuu na hatimaye Majaji hawa wote 7 wakasalimu amri ili kulinda ugali wao wa uzeeni na teuzi mbalimbali baada kustaafu, mfano hai Jaji Augustino Ramadhani ameshapewa ulaji mpya tume ya katiba.
Kwahiyo all in all kama Jimbo la Ubungo ni strategic area ya hawa watawala litatenguliwa ila kinachoweza kusaidia inaonekana Arusha walikosea mipango yao maana CCM kuingia kwenye uchaguzi sasa hivi ni kwenda kujitafutia aibu tu.
Short & clear hatima ya Mnyika iko mikononi mwa Ikulu ya JK. Thats it.
-
-
23rd April 2012 11:49
#44
JF Premium Member Array
Join Date : 18th October 2010
Posts : 5,662
Rep Power : 10354
Likes Received2386
Likes Given1742
[h=2]
Acheni kuingilia uhuru wa mahakama. Kama Mahanga atashindwa kweli basi mahakama itakuwa imeshawishiwa na Mahanga atakuwa na haki ya kukata rufaa!
Kesi ya Segerea wala haiitaji hata Jaji kuiamuwa iko open & clear na kwa hakika Makongoro mwenyewe analifahamu hili dhahiri shayiri na anakijuwa alichokifanya kwenye uchaguzi ule.
Na kinachonikera zaidi baada ya Makongoro kugunduwa kwamba ameshaanguka Ubunge alichofanya ni ku sabotage matokeo ya kata zote alizoona kwamba alizidiwa sana na Mpendazoe, na madhara yake akaathiri mpaka matokeo ya udiwani kwamba hata wale madiwani wa CHADEMA walioshinda kwenye zile kata hawakutangazwa na matokeo yakaenda kubandikwa Anatouglo eti ni madiwani CCM ndio walishinda!! kwa sababu ya mpumbavu mmoja tu huyu Makongoro.
Nitamchukia milele Makongoro kwa kosa hili alilotufanyia kwa sababu ya uroho wake wa madaraka
eep: