Leo Juni 14,2021 ni siku ya Hukumu ya Mpaluka Nyagali Mdude (32) kwa jina maarufu Mdude CHADEMA.

Namuombea Mdude, Hakimu atakaye soma hukumu Mwenyezi Mungu ampe Hekima kama ya Mfalme Suleiman.

Awali Upande wa mashtaka umemuondolea kada wa chadema, mdude nyagali shtaka la uhujumu uchumi lililokuwa likimkabili na kumfungulia shtaka la jinai la kusafirisha dawa za kulevya.

Inadaiwa Mdude CHADEMA ambaye ni mkazi wa Itezi Jijini mbeya, kakamatwa na kushitakiwa kwa tuhuma za kupatikana na unga unaodhaniwakuwa ni dawa za kulevya aina ya heroine. kufuatia taarifa za kiintelijensia zilizopatikana, mtuhumiwa alikamatwa mnamo tarehe 10.05.2020 majira ya saa 17:00 jioni katika msako.

Mara baada ya kukamatwa kwa huyu mtuhumiwa, polisi walikwenda nyumbani kwake mtaa wa mwasote – itezi jijini mbeya kwa ajili ya kufanya upekuzi na katika upekuzi huo kulikutwa busta tano [05] za unga udhaniwao kuwa dawa za kulevya aina ya heroine wenye uzito wa gram 23.4 ambao ulikuwa umehifadhiwa kwenye mfuko wa kaki ambao ndani yake kulikuwa na mifuko midogo miwili ya nylon. Pia matumizi ya dawa za kulevya ni kinyume na sheria ya udhibiti, utumiaji na usafirishaji wa dawa za kulevya ya mwaka 2015 kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara.

Zaidi, soma: Mbeya: Mpaluka Nyagali Mdude akamatwa na Heroin, apandishwa kizimbani akikabiliwa na mashtaka ya Uhujumu Uchumi

- Mbeya: Mahakama imeahirisha kusoma hukumu ya Mdude Nyagali hadi Juni 28, 2021

View attachment 1818127
View attachment 1818128
mbona hapo kwenye hiyo picha kavaa kadet kasimama kama hana malinda🤔
 
Kuna mtu huko nchi za wenzetu, kamchapa Rais kofi. Adhabu yake kafungwa miezi 4. Huku kwetu Mdude kakaa lumande muda gani???
huu ndio uhuru tuutakao,yaani unamchapa mbowe kibao,and no body cares.
 
We naye huna hata akili...hapo kuna neno gani baya unalooona km siyo la heshima!?? Kukataa kuitwa wanyonge au au kusema mnyonge ni bibi yake!?? Nyie wajinga ndo mlimfanya mwendazake ajione amekamilika kila kitu!
hilo sio kosa lililomfunga mdude usikaze fuvu.
 
We naye huna hata akili...hapo kuna neno gani baya unalooona km siyo la heshima!?? Kukataa kuitwa wanyonge au au kusema mnyonge ni bibi yake!?? Nyie wajinga ndo mlimfanya mwendazake ajione amekamilika kila kitu!
Ujinga bibi yako!
 
Hiyo mimba uliyodungwa na mwendazake itakutoa roho kwa siku lazima umtaje mara 62!

Mdude alikamatwa na cocaine za mbowe akizisambaza mikoa ya nyanda za juu kusini
Eti cocaine za Mbowe, Huna haya wewe. Ukamalize dozi ulizokimbia Mirembe. Una ushirika na Makonda aliyewabambikia watu kesi za madawa ya kulevya.
 
Mdude ni Kati ya vijana walioonewa vya kutosha na mwendazake.aliwahi kutekwa tukapiga kelele akaachiwa.Now wameamua kumpa kesi ya madawa ya kulevya bila aibu.

Hivi polisi wa nchi hii tukisema kwamba ninyi ndio wauzaji wakubwa wa dawa za kulevya mtakataa..hizo dawa alizoshikwa nazo mdude bila shaka ninyi ndio mliopandikiza, mlizotoa wapi, mlikuwa nazo kwa malengo Gani. Na je, ni kiasi Gani bado mnacho?

Mama samia naomba ulisuke upya hili jesho la polisi ni Moja Kati ya majeshi ya hovyo haijawahi kutokea. Huwezi kwenda polisi wakakuhudumia bila ya kutoa rushwa, labda kama mnafahamiana ndio akuonee aibu. Hawana huruma wala mapenzi na kazi yao.

Mnakumbuka ni jeshi hiki hili liliwahi kutoa ripoti kwamba wameua majambazi, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika ni wafanya biashara, yaani wengi wao hawa ni majambazi wanaolindwa na dola.

Ikiwezekana kiundwe chombo pembeni ya kulifwatilia hili jeshi, yani polisi wakisema tumeua majambazi matano kwenye mashambulio. Hiki chombo kifwatilie kama kweli kulikuwa na shambulio na kama kulikuwa na umuhimu au uhalali wa hao majambazi kuuliwa wakisena kakamatwa na dawa wafwatiliwe kama ni kweli. Hapo watanyooka.

Juzi tubkuna Mzee wa Arusha walimwekea kipande cha pembe za ndovu wakamwambia atoe mill mia Moja, yaani hili jeshi lisukwe upyaa hawa waliopo wengi ni mizigo.
mjinga mmoja

Sent from my Infinix X682B using JamiiForums mobile app
 
Kuna tofauti ya mwanaharakati na kioo cha jamii. Ukishakuwa kioo cha jamii, influence yako inakuwa kubwa sana. Mambo unayoyafanya yanagusa wengi sana, either utake au usitake. Siungi mkono kumpiga vita Diamond, ila ukweli ni kwamba Diamond alikosea sana kusimama na Magufuli, kufumbia macho yaliyokuwa yakiendelea na kuiacha jamii yake.
We unaona kuwa alitakiwa afanyaje? kwamba amkosowe Mwendazake au asiende kwenye kampeni za Mwendazake?
 
Back
Top Bottom