Hukumu ya Mafisadi ingekuwa hivi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hukumu ya Mafisadi ingekuwa hivi!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndibalema, Jul 22, 2010.

 1. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,271
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Tumeogopa kukoment
  Binadamu kuuawa mie huwa sifagilii kabisa
   
 3. anania

  anania Member

  #3
  Jul 23, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  NADHANI INAPENDEZA SANA,KWANI SIKU HIZI WATU KUGOMBEA UONGOZI UMEKUWA UGONJWA KAMA SI KUTAKA KUWA MAFISADI NI NINI?kAMA KWELI MTU ANAONA HAKUNA MASILAHI TUSINGE UANA KWA WAGANGA WALA KUROGANA.NAPENDA SIKU MTU KUGOMBEA UONGOZI AWE ANAMLAZIMISHWA KUGOMBEA.INAN IKUMBUSHA MIAKA HIYO KUNA MZEE ALITEULIWA NA WANANCHI AWE MWENYEKITI AKAWA ANAKATAA MPAKA WAZEE WA PALE KIJIJINI WAKAMKALISHA KITI MOTO NA KUMSIHI AKUBALI KUKALIA KITI INGAWA ALIKUBARI LAKINI KWA SHINGO UPANDE.VIPI INGEKUWA HIVYO KWENYE VITI VYA URAIS,UBUNGE NA UDIWANI .NADHANI TUNGEKUWA MBALI ,HATA MABOMBA YA MAJI YANGEKUWEPO KTK KILA NYUMBA NA KUWEPO 24HRS.(EE MUNGU TUNAOMBA MIUJIZA YAKO KWANI TANZANIA INAMALIZWA NA MAFISADI KWANI KILA MTU UNAYE KUTANA NAYE NI FISADI TU)
   
Loading...