Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

ujinga mwingine huu,wanatumika na ikulu kule sumbawanga na igunga walitumia ikulu ya moshi sio,acha imani potofu
 
Sasa mkuu Matola tumfanyeje mtu huyu aliyetudanganya watu wa humu JF? Asulubiwe, asulubiwe
Watoto wamejaa wengi humu siku hizi, hata Mods ukiwapa ripoti kutumia ile button yao sijaonaga response ya Haraka, nadhani mleta mada anastahili ban angalau ya wiki moja.
 
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned

[h=3]UPENDO HILLARY MSUYA (Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania)[/h]

*Jaji No. 40 (J.40) kulingana na nafasi ya uteuzi wake (Seniority) kwa Majaji Mahakama Kuu ya Tanzania waliopo sasa (bila kumjumuisha Jaji Kiongozi FAKIHI ABDALLAH RHENO JUNDU)

*KANDA/Kituo cha Kazi: DAR ES SALAAM (Kama ilivyohakikiwa tarehe ya April 5, 2012. Kituo hiki cha kazi na pia namba ya Jaji huyu ki-mpangalio kwa uteuzi wake, vyaweza kubadilika pasipo sisi kuwa na taarifa. Tafadhali fanya uhakiki binafsi. Hatutawajibika kwa kutohakiki kwako huko katika jambo hilo na mengineo yaliyoandikwa humu)

*Maamuzi ya Mh. Jaji UPENDO MSUYA yanapatikana katika Mahakama Kuu ya Tanzania; Mahakama ya Rufaa ya Tanzania (hasa yanapokatiwa Rufaa hapo); machapisho ya Sheria, maktaba za wanasheria na pia katika blog ya Case Lawyer
 
Watoto wamejaa wengi humu siku hizi, hata Mods ukiwapa ripoti kutumia ile button yao sijaonaga response ya Haraka, nadhani mleta mada anastahili ban angalau ya wiki moja.
Wikiendi inakaribia kuanza kwa wengine, labda Mods wameshaianza!
 
"Serikali inaingilia uhuru wa mahakama" Jaji mkuu.

Kaka, hii ni nukuu ya jaji mkuu yupi huyo?. Yule mstaafu? au huyu wa sasa?. Maana hawa majaji huwa hawasubutu kusema ukweli hadi wakishastaafu ndio wanafunguka.
 
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.

Updates toka chumba cha mahakama hukumu imeahirishwa nafatilia tatizo nini. Stay tunned


Kamanda asante kwa taarifa. Endelea kuwapatia updates wakuu hapa, lakini leo si siku ya hukumu, ni final submission. Baada ya majumuisho ndipo mahakama inapanga lini itakuwa siku ya kusoma hukumu. Haya kamanda.
 
Hakuna haki Tanzania, kila kitu rushwa tu, mfano Mahakama, Polisi na Ikulu kufanya kazi chini ya matakwa ya CCM mf. Uchaguzi unatawaliwa na uchakachuaji dhidi ya mshindi halali wa upinzani na mpinzani akifanikiwa kushinda jimbo huandamwa kwa visa na kupigwa, kujeruhiwa na hata wafuasi wao kuuawa na CCM iliyowatuma kukaa kando na kufurahi kwa mafaniko yao. Mnyika atashindwa kwani CCM haiko tayari kupata aibu, hivyo kuungana na Lema na Mpendazoe ili kujifariji kwa imani yao. Hakuna Polisi na Mahakama hata Bunge Tanzania, yote hayo ni usanii/ze comedy tu hadi hapo Katiba mpya isiyokuwa na harufu ya CCM itakapopatikana. Mungu ibariki Tanzania.
 
Huyu jamaa aliye leta habari anastahili ban ya mwaka mzima,maana ametuletea pressure za bure na huu ni utoto ambao mods wakiuvumilia utazidi kushusha hadhi ya jf.
 
Kwa hali inavyoenda sidhani kama dogo mnyika atachomoka kwenye kesi hiyo kutokana na hbr zilizoanza kuenea mtaani.
 
mnyika chaliiiiiiiiiiiiiiiii

chezea magamba eeeeh maana dogo anawapelekesha sana bunheni
 
huyu mleta maada anapaswa kupewa banned hadi baada ya hukumu hii kutolewa.hapaswi kuvumiliwa kwa upotoshaji huu wa wazi na wenye kukera
 
Jaji Upendo Msuya ndiye alimhukumu Babu Seya simwamini saaana

Wewe unajua Babu seya alifanya nini? au unabwabwaja tu, je mtoto wako angegeuzwa na kuambukizwa ungekaa kimya? tafuta madokta kule Muhimbili wakuambie ukweli ! msiwe mnapenda kusema vitu msivokuwa na uhakika navo ! unajua kwannini yule jaji (mwanamke) wa kwanza ALIJITOA? hebu mfuatilie ! ile kesi INAUMIZA SANA! yule mama alijitoa kwa kushindwa kuvumilia machungu ! msiseme tu kama hamjui.

KEsi ya TL mbona ameshinda Tundu Lisu, yaani mnataka kila siku Chadema ishinde kesi ! hamna imani na mahakama! mbona kwa Tl ccm walikaa kimya ! subirini na kama hairidhishi basi kuna kukata rufaa! japo nampenda sana kijana MNyika tena sana naongea kutoka katika moyo wangu na mimi ni CCM damu ! tusubiri hukumu tusipaparike ! nafurahia upinzani unaleta chachu ya maendeleo!
 
Back
Top Bottom