Mch M. Martin mjerumani alisema, tafsiri yangu,
Jeshi la Hitler lilipokuja kwa ajili ya kuwaua wayahudi, nilikaa kimya, kwa kuwa mimi si myahudi,
Jeshi la Hitler Lilipokuja kuwashughulikia wanaharakati, nilikaa kimya, kwa kuwa mimi si mwana harakati,
Jeshi la Hitler Lilipokuja kuwaua viongozi wa vyama vya siasa,nilikaa kimya, kwa kuwa mimi si mwanasiasa,
Jeshi la Hitler Lilipokuja kuwashughulikia vyama vya wafanyakazi,nilikaa kimya, kwa kuwa mimi si mfanyakazi,
Jeshi la Hitler Lilipokuja kuwaua waandishi wa habari, nilikaa kimya, kwa kuwa mimi pia si mwandishi wa habari,
Na mwisho walipokuja kunishughulikia mimi, hakuna mtu wa kunisemea, kwa kuwa wengine wote wameshashughulikiwa.
Je, nini kinaendelela Tanzania and what are you doing?
Kuingia JF na kulaumu tu peke yake inatosha? Tafakari