Wadau tupeni updates.
Jamani bado tu. Huyo jaji kabatilisha tu.
Updates pls.
Maitario mbona unajishushia heshima JF, live yako imeishia wapi?
hukumu haijasomwa tu hadi sasa saa 15:24 za kibongo
wamesemaje? hata hivo sitarajii walimu washinde kwani serikali itaumbuka.
Ni saa 9 na dk 26. Kuna hukumu kweli?
mkuu hiyo hukumu ni ya masaa 6 nini? mbona hutupi updates
Jamani hiyo hukumu imepotea????mboa sa tisa naushee?
Time now is 3:32. Jaji kaingia mitini??
huyu jamaa mzushi alikua anataka aonekane nae kaanzisha hot thread
Maajabu na kweli..hukumu ya kesi kubwa kama hii haijasomwa mpaka saa hizi??
dar yote hiyo kuna mwana jf mmoja tu mahakamani?
Aisee mkuu kila kona ni matatizo tupu!!!Huku tuna prezidaa dhaifu,spika dhaifu,bado na huyu jamaa ambaye ni great thinkers hajui maana ya "LIVE"?Inaelekea mleta thread hajui nini maana 'live'
Samahani sana wadau simu yangu iliisha charge. Mgomo umetangazwa kuwa batili kwa sababu ambazo mahakama haijazieleza vizuri
Samahani sana wadau simu yangu iliisha charge. Mgomo umetangazwa kuwa batili kwa sababu ambazo mahakama haijazieleza vizuri
Wana JF mnashangaza sana yaani wote mnaulizia mtu mmoja alete updates,,kufuatilia wenyewe mnaona nn? c inajulikana ni mahakama gani jijini Dar? Tupunguze uvivu! Jamaa alileta dondoo basi ifanyiwe kazi c kusubiri mtu mmoja04:06 bado tuu
Tukienda wote mahakamani patatosha? hata akiwepo mmoja anatosha kutujuza humu jamvini. hatuwezi kwenda kila pahala sote.Wana JF mnashangaza sana yaani wote mnaulizia mtu mmoja alete updates,,kufuatilia wenyewe mnaona nn? c inajulikana ni mahakama gani jijini Dar? Tupunguze uvivu! Jamaa alileta dondoo basi ifanyiwe kazi c kusubiri mtu mmoja
Amesema wakati wa kupiga kura labour officer hakuwepo, pia mgomo hawajasema utaisha lini na hivyo mgomo ni batili warudi kazini. Hii ni mara nyingine mahakama zinapendelea serikali na inadhihirisha madai ya Lissu kuwa serikali inateua majaji dhaifu siku hizi ili wazitumie kukandamiza haki za raia