Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

Kitaeleweka tu,vinginevyo darasani
itakuwa hivi:
a) 1 + 3 = 13
b) 73 - 3 = 7
c) 3 x 3 = 333
d) 7 x 2 = 77
Na kwenye physics usiseme,kila
formula itakuwa reciprocal.
That will be our plan B for us
science teachers.
SIPATI PICHA KWA NDUGU ZANGU
WA HISTORY,'BINADAMU WA
KWANZA ALIKUWA MBWA'...TWENDE
KAZ...!
 
Hivi naomba kuuliza tu, Mwalimu kurudi darasani kufundisha ndio kufaulisha au ili mradi ionekana madarasani kuna walimu wanafundisha?
Ewe Mungu naomba uendelee kunijalia visenti mbuzi ili niweze kumudu kuendelea kumlipia mtoto wangu Private School. Nakila mtu sasa abebe msalaba wake. nchi ya makondoo watupu hii.

uko sahihi sana mkuu. manake kufika shule kusain daftari la mahudhurio kuwa na log iliyojazwa vzr pamoja na scheam of work na lesoni plani pamoja na lesoni notisi bado siyo kufundisha atiii. naweza kuingia darasan nikafundisha uongo makusudi kabisa ama pia nikaishia kuimbisha wanafunzi nikatoka serikali inapaswa kufikiri namna ya kummotivate huyu mwl kweli tunakoelekea ni kuona fani hii ikikimbiwa na watu na kubaki pasi mwelekeo.

ifike mahali raisi aseme anataka nini kwa watanzania tufe ama tuuane ama tuish kama kondoo wasiokuwa na mchungi?
 
Kwani wanafunzi walikuwa walalamikaji katika shauri hili? Anatoaje order ya watu wasiokuwa sehemu ya shauri walipwe fidia? Ama kweli tuna majaji miaka hii!
 
Kwani wanafunzi nao walifungua kesi hiyo ya madai na wamedai kiasi gani jamani niwekeni sawa na watalipwa lini na mwisho lini wa malipo kuwa yamefanyika .Mbona JK aliongelea swala lililoko mahakamani jana hii imekaaje
 
Tanzania Teachers should consider
the whole difficulties and problems their encountering as a part of a great mission towards liberation
 
Matola umenena hali halisi ambayo ni mbaya sana kwa walio wengi wasio na kitu. Mgomo baridi wa walimu utakuwa na madhara makubwa zaidi kwa ustawi wa elimu.

Hivi, bila elimu hizi rasilimali zetu zina maana kweli? Hata shamba la bibi lina unafuu, tutaporwa zaidi na hawa wezi wa kimataifa wanaokuja uongo wa uwekezaji.

Hii nchi tunasitahili kuwekeza zaidi kwenye elimu zaidi katika miaka 20 ijayo vinginevyo tutaendelea kuwa na kina Mangungo zaidi kila kukicha. Tunaendelea hivi mpaka lini?
Hivi naomba kuuliza tu, Mwalimu kurudi darasani kufundisha ndio kufaulisha au ili mradi ionekana madarasani kuna walimu wanafundisha?
Ewe Mungu naomba uendelee kunijalia visenti mbuzi ili niweze kumudu kuendelea kumlipia mtoto wangu Private School. Nakila mtu sasa abebe msalaba wake. nchi ya makondoo watupu hii.
 
Giza + giza = giza ,bila shaka maumivu yanakuja kwenye sekta ya elimu kazi ipo
 
Kwani wanafunzi walikuwa walalamikaji katika shauri hili? Anatoaje order ya watu wasiokuwa sehemu ya shauri walipwe fidia? Ama kweli tuna majaji miaka hii!

nafikiri hata bibi yangu kule village anafaa kuwa jaji mzuri kuliko hawa majaji tumbo mbele!!
 
Presdent alisema jana kuwa walimu wasikilize hukumu vizuri leo, it was a reminding statement coz he new what comes. Sorry, hivi nilishawahi kusikia mahakama imekaa usiku na kutoa ruling, nafikiri ni mgomo wa walimu some years back. Na huu wa juzi wa Drs nahisi kuna mambo yalifanyika beyond reasonable hours.

From this juncture, walimu rudini darasani muende CMA, Mkae mkitambua kwamba CMA na mahakama vyote viko chini ya serikali. Ombeni Mungu gesi itufaidishe labda mishahara automatically itakuja kuongezeka vinginevyo wanaoumia ni watoto wa wenzenu, hakuna kiongozi from Mbunge kwenda juu mwenye watoto wake kwenye shule zenu za msingi labda utawakuta secondary kwenye some good schools.

Twaaalaaa twaliwaaaa, Mmeliwaaaaaa!
 
Kwa mara nyingine tena mahakama imejitukanisha! Wanazidi kuuza na kuidhalilisha taaluma yao
 
Hivi bado mna imani na mahakama,mimi toka kesi za kina lyumba ,mbunge lema na kina farijala sina imani tena na serikali ya dhaifu.
 
Hizi substandard za majaji na watendaji wa kuteuliwa na Jk ni za ajabu sana mie najiuliza kwenye mgomo wa Walimu jaji kadai kesi no batili na moja ya hoja kuwa hauna ukomo au mda wa mgomo nimejiuliza kifungo cha gazeti la mwanahalisi bila mda maalum ni haki?
 
walimu wanafahamu nini cha kufanya. wasaliti wa nchi hii ni wengi sana. hawa jamaa hawaogopi mgomo wa chini kwa chini si unajua hawawasomeshi watoto wao kwe shule za serikali na wasingependa kuona mtoto wa masikini akipata elimu sawa na elimu wanayopata watoto wao au hata kukaribia, kibaya zaidi wapo walalahoi wasioelewa nini kinachoendelea
angalizo kwa wabunge na serikali hamtafanikiwa mnajidanganya ipo siku hata kama hamtakuwepo watakuwepo watoto wenu ama wajuuu wenu watapata shida na wao
serikali mnafanya dhulama
wabunge mmekaa kimya mkiongozwa na spika wenu sheria zenu na kanuni zenu ni muhimu kuliko uhai wa taifa hili ipo siku
 
Namshauri Mkoba mgomo uitishwe mwezi Septemba 2012 baada ya shule kufunguliwa. Wakati wa likizo Mkoba jitahidi kushughulikia vipengele vyote vilivyosababisha CWT kushindwa mahakamani. After all mwezi Sept mgomo ndo utakuwa mahala pake kwa kuwa ndio kipindi ambacho std vii watafanya mtihani wa PSLE.
:ranger:
 
Pilato kasema walimu rudini kazini source CLOUD FM JAHAZI.

Mkuu sijui walimu wafanyeje,
Jaji anayebatilisha mgomo kateuliwa na Kikwete,
Jaji wa CMA, aliyesimamia mgomo, kateuliwa na Kikwete,
waziri wa Elimu naye kateuliwa na Rais Jakaya Kikwete pia,
Bungeni, wanawajibika kwa Kikwete kama mwenyekiti wa CCM.
Tunahitaji katiba mpya, no way out ili kupisha vurugu, la sivyo, naona vurugu

 
Kumbe unaweza kustukia mtu unalipwa fidia ambayo hujui ilikotokea. Kweli TZ sheria zetu zina maajabu.
 
Duh! Muhimili wa kusimamia haki! Muhimili huu ndiyo ulikuwa tegemeo kubwa kwa wanyonge katika ukombozi! Ile mingine miwili, utawala na Bunge wameshawatosa wananchi.

Hivi, nauliza: Hata siku moja Mahakama haiwezi kutoa hukumu chanya kwa wale wanyonge wanaotetea masilahi yao, yaani siku zote migomo kuhusu madai yao ni batili tu???? Haina huruma kweli? hata kama suala halikuletwa Mahakamani, jaji haoni jinsi walimu wanavyoteseka nchi hii?

Sina maneno zaidi kwa machungu ninayopata ila tu naamini ya yule aliesema humu kwamba ukombozi kutoka wakaloni weusi ni mgumu sana kuliko ulivyokuwa kwa wale weupe!
 
Back
Top Bottom