Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Nilikuwa naishi mtaa unaitwa "Mpendae"
Nilienda gengeni siku moja (nikiwa mgeni)
Nikamwambia nipe nyanya, akanipa ngogwe
Kumbe nyanya zaitwa tungule shekhe

Kali zaidi
Kuna siku tulikuwa tunatoa kreti zenye chupa tupu ndani tunapakia kwenye kirikuu
kila anayepita anasema astakafullah! astakafullah!
Walitaka kutupiga mawe tukawahi kukimbia.
Kwanini walitaka kuwapiga mawe? Namaamisha kwani kufanya hivo mlikosea nini au kuna utamaduni wao mliuvunja?
 
Ila naskia wale wa pemba ndio balaa (wakorofi), vipi kuna ukweli hapo?
Upo ukweli hapo, Lakini nafikiri unashindwa kutafautisha kati ya UPOLE na USTAARABU..

USTAARABU na UKARIMU wa watu Wazanzibari ndio unaofanya watu wa Bara wawaone kuwa hawa Watu ni wapole sana

Si unajua tena mijitu ya Bara Kila kitu mikimikiki

kuwa mwizi,kutokuwa muaminifu,ubabe usiokuwa na mpango wao ndio wanaona ujanja
 
Kasheshe [emoji16]. Hapo ulipo upo upo!!!!?
Naona jamaa hajarudi au ndio amekwenda kutafuta majibu? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Upo ukweli hapo, Lakini nafikiri unashindwa kutafautisha kati ya UPOLE na USTAARABU..

USTAARABU na UKARIMU wa watu Wazanzibari ndio unaofanya watu wa Bara wawaone kuwa hawa Watu ni wapole sana

Si unajua tena mijitu ya Bara Kila kitu mikimikiki

kuwa mwizi,kutokuwa muaminifu,ubabe usiokuwa na mpango wao ndio wanaona ujanja
Eti ''Mijitu ya Bara'' kwa hizo dharau ndio unajikuta Mstaarabu?

Inna llilah,
 
  • Thanks
Reactions: T11
Najua hupendi kusikia kuwa Zanzibar ilikuwa Empire

Hupendi kusikia kuwa, Watanganyika mmeifanya nchi iliyowahi kuwa Empire katika Afrika,imekuwa fukara hohe hahe, kutokana na uwezo mbovu wa Mwafrika kujitawala

Nakupa hongera Kwa kujua kuwa kulikuwa na Empire nyengine Duniani

Hongera,haya nenda kalale sasa..
Wakati Watanganyika tunafanya hivyo ninyi werevu mlikuwa wapi? Kwanini mliruhusu hayo yatokee?
 
Na shule ndio hizo

Skuli ya Tumekuja
Skuli ya Kajificheni
Skuli ya Mchambawima
Skuli ya Mwembekiuno
Skuli ya Michenzani
Skuli ya Bumbwini

lakini hii mimi ningetaka sana nisome
Skuli ya Fidel Castro
 
Point yangu haina uzito ila tambua miongoni mwa lugha ambayo misamiati yake inatumiwa na lugha nyingine basi ni kiarabu, kwani kimejitosheleza na hakikopi misamiati kutoka kwenye lugha nyingine, isipokuwa hizo lugha nyingine ndio zinakopa kwa Kiarabu.
Achana na huyo jamaa, amekuja kuharibu uzi tu. Tangu ameingia humu mada za warembo wa kizanzibari zimetoweka zote.
 
Na shule ndio hizo

Skuli ya Tumekuja
Skuli ya Kajificheni
Skuli ya Mchambawima
Skuli ya Mwembekiuno
Skuli ya Michenzani
Skuli ya Bumbwini

lakini hii mimi ningetaka sana nisome
Skuli ya Fidel Castro
Xkuli ya mapajani
 
Wakati Watanganyika tunafanya hivyo ninyi werevu mlikuwa wapi? Kwanini mliruhusu hayo yatokee?
Wako Wazanzibari wachache walioko kwenye uongozi, kutokana na njaa zao na uchu wao wa Madaraka wanafanya kila kitu ili Zanzibar ibaki kwenye Mungano na Watanganyika..

Ni Viongozi wa Serikali ya Zanzibar inayoongozwa na CCM wanafaidika sana na huu mfumo wa Muungano sio Wazanzibari wa kawaida
 
Eti ''Mijitu ya Bara'' kwa hizo dharau ndio unajikuta Mstaarabu?

Inna llilah,
Mtu yoyote anae ona kuwa KUDHULUMU,kuwa sio MUAMINIFU, KUONEA wengine KUTESA wengine,huyo ana haki ya kuitwa jitu kwani anakuwa hana tafauti na mnyama..

Ukweli watu wengi kutoka Bara niliokutana nao sio waaminifu,wezi,hawana Busara,hawana malezi...

Wapo wapo tu,ni mijitu
 
Na shule ndio hizo

Skuli ya Tumekuja
Skuli ya Kajificheni
Skuli ya Mchambawima
Skuli ya Mwembekiuno
Skuli ya Michenzani
Skuli ya Bumbwini

lakini hii mimi ningetaka sana nisome
Skuli ya Fidel Castro

Hakuna skuli ya mchambawima, wala mwembe kiuno wala michenzani. Kuna Fidel Castro, Lumumba, Hailesallasie, Benbella, Karume Tech College, upooooo!!?
 
Hakuna mchagga wala mmeru mwenye tatizo la R na L, wenye nayo nawajua,baadhi ya Wazanzibari wakiwamo

Hakuna mchagga wala mmeru mwenye tatizo la R na L, wenye nayo nawajua,baadhi ya Wazanzibari wakiwamo
Nishakaa Unguja mkuu, hamna tatizo hilo. Wewe ushafika Zanzíbar ? Usinambie inakaa na Wazanzibari walipo / waliozaliwa bara .... Hata Wanyamwezi waliozaliwa Zanzíbar wanazungumza Kiswahili safi
 
Nishakaa Unguja mkuu, hamna tatizo hilo. Wewe ushafika Zanzíbar ? Usinambie inakaa na Wazanzibari walipo / waliozaliwa bara .... Hata Wanyamwezi waliozaliwa Zanzíbar wanazungumza Kiswahili safi
Ni lini mtawalazimisha Baraza la wawakilishi wapeleke muswada barazani wa kuvunja Muungano? 🤔
 
Hapana kabisa, sababu ingekua wote tunaweza kukisikia kiarabu naturally kwa kukiongea pia, ila sababu kiswahili sio kiarabu ndio maana hata wa Islam wengi hasa huku bara Hawajui Quran kabisa yaani ni kama kichina kwao japo ni manguli wa kuzungumza kiswahili
Hata mimi sijui lugha za kibantu (unasema Kiswahili ni kibantu, utazungumza lugha ya kibantu nitaokotea mawili matatu kama kwenye kiarabu hali ndo hiyo hiyo) ...
Lugha kuwepo. Lakini ukumbuke Kiswahili hakizungumzwi tz pekee, hata ke pia ( na makabila ya Watanzania sio wote Wabantu....)
 
Screenshot_20201106-112037~2.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom