Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Huku Zanzibar kuna mambo ya ajabu sana

Kuwa na lugha inayotegemea lugha nyingine ili iweze kusomeka na kuandikika ni useless! Kwanini hizo lugha hazina irabu zake? Andika kwa kutumia irabu zake basi.
Ningejua ningekwenda
كنت أعلم أنني سأذهب
Sijui kama ndio tafsiri yake
 
"Konda nishushie poro langu au wanasema kiporo"😂😂 poro ni mzigo kama vile unga wa kilo 25 au mchele.. akienda dukani kununua mchele wa kilo 25 au unga wanaita poro la sembe au poro la mchele.. for the first time kwenye gari kuna mama alikuwa anashuka akamwambia konda nishushie kiporo changu 😂😂 mi nikajua uporo chakula kilicholala hatari tupu.😅
😂😂😂😂😂
 
Kasheshe [emoji16]. Hapo ulipo upo upo!!!!?
Namsubiri mtaalam wa kiswahili anipe majibu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
We chabuso ni Mwongo kama Muislam mwenzenu mnayemsujudu Mohamed Said

Unasema duniani kumewahi kuwa na Empire 4 tu???

Hiyo ndio tunaita ''MUMBO-JUMBO'' unaandika uongo wa wazi kabisa

Na hizi ni nini?
Screenshot_20201106-211150.jpg
Screenshot_20201106-211136.jpg
 
Hahaha,unajua maana ya Empire lakini au umekurupuka Tu

Huyo Mohammed Said ndio Nani?mbona unachanganya madawa Kaka..

Weka hisia zako upande Kaka

Pale ninapozungumza Empire nne zinazojulikana duniani hizo ulioziweka hapo hamna anaezijua

Kwa kukuongezea Empire nyengine kubwa ambayo ilitawala kuanzia Asia ikiwemo China na Ulaya Mashariki ni Mongol Empire

Hawa walikuwa watu wa Mongolia chini ya Mfalme wao Genghis khan

Hizo Empire ulioziweka hapo kwenye list yako labda zilitawala vijiji...
 
Nilikuwa naishi mtaa unaitwa "Mpendae"
Nilienda gengeni siku moja (nikiwa mgeni)
Nikamwambia nipe nyanya, akanipa ngogwe
Kumbe nyanya zaitwa tungule shekhe

Kali zaidi
Kuna siku tulikuwa tunatoa kreti zenye chupa tupu ndani tunapakia kwenye kirikuu
kila anayepita anasema astakafullah! astakafullah!
Walitaka kutupiga mawe tukawahi kukimbia.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Hahaha,unajua maana ya Empire lakini au umekurupuka Tu

Huyo Mohammed Said ndio Nani?mbona unachanganya madawa Kaka..

Weka hisia zako upande Kaka

Pale ninapozungumza Empire nne zinazojulikana duniani hizo ulioziweka hapo hamna anaezijua

Kwa kukuongezea Empire nyengine kubwa ambayo ilitawala kuanzia Asia ikiwemo China na Ulaya Mashariki ni Mongol Empire

Hawa walikuwa watu wa Mongolia chini ya Mfalme wao Genghis khan

Hizo Empire ulioziweka hapo kwenye list yako labda zilitawala vijiji...
Umesema ni Empire nne tu zinazojulikana duniani, hizo sio empire?

Kwanini hukuiweka hiyo Mongol empire na legacy yake ya enzi?

Kwahiyo unatuambia kuwa Zanzibar Empire imefahamika duniani zaidi kuliko Spanish Empire au Russian Empire?

Kwasababu hata historia ya Zanzibar ambayo ipo open kuifahamu imeanzia karne ya 18.
 
Najua hupendi kusikia kuwa Zanzibar ilikuwa Empire

Hupendi kusikia kuwa, Watanganyika mmeifanya nchi iliyowahi kuwa Empire katika Afrika,imekuwa fukara hohe hahe, kutokana na uwezo mbovu wa Mwafrika kujitawala

Nakupa hongera Kwa kujua kuwa kulikuwa na Empire nyengine Duniani

Hongera,haya nenda kalale sasa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom