Huku tunapoelekea sasa Tanzania sijui wapi?

Huku tunapoelekea sasa Tanzania sijui wapi?

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
[h=3][/h]

Mdada huyu aliacha shughuli zote alizokuwa akizifanya katika simu yake na kumshangaa mwanadada, msanii wa muziki wa kizazi kipya tena anayetokea katika familia ya kimuziki, Maunda Zorro, wakati akiingia ukumbini ktk sherehe za KILI TIME AWARDS huku akisalimiana na kila mtu na kuwaacha hoi baadhi ya watu waliokuwamo ukumbini humo.
 
Pamoja na kwamba nampenda sana baba yake Zahiri Ally napenda upeo wake na akili yake hata muziki wake, lakn sipendoi kabisa taia yake ya kujifanya Demu!! pambaff!!
Mtoto wa nyoka ni nyoka!
 
Huyo alishashindikana kitambo na sababu kubwa ni tungi,analewa huyo dada kama hakuna kesho vile
 
Fascinating,..sasa hapa utakuta mtu akimwita/akiwaita malaya/dada poa mtu anakasirika but again you wonder,

Some girls of this generation, they dress like them, talk, walk and behave like them..yaani hao madada poa, na ukimwita hivyo/au kum-treat hivyo anakasirika sasa what is the difference?..b'se it's really confusing!
 
Kama ustaarabu ndio huu basi wanyama ndo wastaarabu zaidi

Hivyo ndio vioo vya jamii vilivyo vunjika,kwa style hii lazima wazazi wawe wakali tu pale bint anapotaka kuwa msanii
 
Pamoja na kwamba nampenda sana baba yake Zahiri Ally napenda upeo wake na akili yake hata muziki wake, lakn sipendoi kabisa taia yake ya kujifanya Demu!! pambaff!!
Mtoto wa nyoka ni nyoka!

That old man...ni urembo tu au kuna tatizo lingine nyuma ya pazia?
 
Kuna member moja humu alidiriki kutamka namnukuu....."mtuache tupumue"
Sasa sijui ndo'kupumua kwenyewe.
 
safi kabisa...hii ndio y wanaume tutaendelea kuwaona wanawake ni dhaifu tuu
 
Haya ndio maendeleo yenyewe!, hivyo inaitwa "freedom of expression" kama ilivyo "freedom of speech" itafuatia "freedom of association" ndiko kwenye ushoga ndani yake na mwisho ni "freedom of enjoyment" kufanya chochote popote!. Hivi ndio karibia tutafanana na ulaya!.

Kila hatua ya maendeleo tunayopiga, there is a price to pay!.
We have to swallow the bitter with the sweet!.

Hata Zanzibar, kabla ya ujio wa mahoteli ya kitalii, ile biashara "the oldest professional" haikuwepo!.

Mahoteli yaliposhamiri, na biashara ikaanza, kwanza ikifanywa na wadada kutoka bara!, kidogo kidogo Mabinti wa Kizanzibari nao wakaanza ila wao wakawa hawapangi bei!, sasa wao ndio vinara hata ile huduma ya 0713!, hawakusubiri uiombe, wao wanaitoa straight!.

Kilichobakia ni ku legalize tuu!.
P.
 
That old man...ni urembo tu au kuna tatizo lingine nyuma ya pazia?

Mie huwwa nashindwa kumwelewa! siujui ana nini!
Lkn ana akili nzuri tu...ukiongea nae huwezi amini! unaweza ufumbe macho ili usikie pointi tu!
lkn Ana akili sana tu!!
 
Naweza kusoma mind ya huyo dada mwenye simu daaaa - amewazaaaa balaaa! BTW hivi kumbe nyonyo ni chuchu eee?? coz nowdays wadada wengi akishafunika chuchu kamaliza lol.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom