Huku Sirari Tarime, watu wengi wanaharisha naombeni Wizara ya Afya itoe tamko

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
459
1,000
Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.

Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.

Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.

Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?
 
Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
24,030
2,000
Changamoto
Ila Kuna Jamaa Yangu Aliharisha Mpaka Tukampeleka Hospital Ila Hana Tatizo
 
Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
1,900
2,000
Mnachofanya hapa ni kuvunja sheria, mwenye mamlaka ya kutangaza mlipuko wa ugonjwa ni Wizara ya Afya. Mtasababisha na JF ifungiwe kama Clouds, ukifungua kila thread utakuta Tunaomba radhi kwa kukiuka kanuni, taratibu.
 
Balvejmumt

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,131
2,000
Suala la wizara kutoa tamko liko mikononi mwa watoa huduma nikiwa na maana ambao wana access mambo ya Epidemiology kama hawajatoa taarifa huwenda ni watu wamejilia uchafu bila kunawa mikono,
 
eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
13,753
2,000
Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.

Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.

Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.

Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?
Tatizo nyie wajuaji kila mnaloambiwa hamtaji, naweni mikono na sabuni na maji tiririka basi
 
SACO

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
1,160
2,000
Hao wanakunya sana porini hawana vyoo hata wakiwa navyo wanachambia kokoto.. so what you expect
 
Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Aug 10, 2019
2,029
2,000
Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.

Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.

Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.

Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?
Maji mnayokuwa mnachemsha usikute kuna chizi fresh keshapiga cha mara kenda fanya mambo kwenye kisima cha kijiji mambo hayoo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom