Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,973
Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.
Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.
Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.
Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?
Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.
Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.
Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?