Huku Sirari Tarime, watu wengi wanaharisha naombeni Wizara ya Afya itoe tamko

Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.

Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.

Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.

Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?
Juzi kati nilileta uzi huku kuwa kuna mlipuko huo ila kwa sasa hapa nilipo umeisha nikapingwa sana sasa umehamia kwenu. Poleni sana
 
Wakuu, kuna watu wanaharisha Tanzania, mlipuko huu umeanza week iliyopita; unakuta nyumba nzima inaharisha, kijiji kizima kila mtu anakuambia kuwa anaharisha. Huku Sirari, Tarime kila mtu aliyoko huku ameharisha.

Naomba Wizara ya Afya itoe tamko na ufafanuzi juu ya hali hii.

Na kama wewe hujaharisha kipindi hiki mshukuru MUNGU wako.

Huko Dar tupeni update huu ugonjwa haujafika huko?

Na wewe unaharisha?
 
Back
Top Bottom