Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Ukiwa na GF wa Moshi, hasa Kibosho, lazima kwenye pochi ana kisu.Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......
dah amekukosea nin mama wa wawatu?WE wakurya wameenea kila kona ya nchi, ona sura yake ilivyo ngumu kama kifaru cha jeshi
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......
Huwezi fahamu labda anakaa mbali na akirudi usiku inabidi ajilinde na vijana wetu hawa wanaovuta bangi ambao hata bi kizee wenyewe twende tu.
WE wakurya wameenea kila kona ya nchi, ona sura yake ilivyo ngumu kama kifaru cha jeshi