Huku ni kujilinda na nini?

Indume Yene

Platinum Member
Mar 17, 2008
2,944
703
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......

DSC05207.JPG
 
kama ni moshi vijijini atakuwa alikuwa anakata migomba mtoto akaugua ghafla akatoka na silaha kwa haraka alizokuwa nazo
 
Huwezi fahamu labda anakaa mbali na akirudi usiku inabidi ajilinde na vijana wetu hawa wanaovuta bangi ambao hata bi kizee wenyewe twende tu.
 
mbona hakuna silaha ila ubavuni upande wake wa kushoto kuna kitu kinachofanana na mpini. Je ni mpini wa silaha au kitendea kazi?
 
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......

DSC05207.JPG
Ukiwa na GF wa Moshi, hasa Kibosho, lazima kwenye pochi ana kisu.
Ni jadi kwa hao ndugu zetu kujilinda kwa kisu kikali!!
 
Huyo akitoka hapo anapitia kukata majani ya ng'ombe, si silaha hiyo, ni kitendea kazi
 
Arif ...naona zana ya kilimo tu hapo arif! maana silaha kuimiliki mpaka kibali arif, sidhani kama bibi hapo kati aliandika barua ya kuomba kumiliki silaha,akafuata utaratibu wote mpaka akaenda kulinunua panga.
 
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......

DSC05207.JPG

Sisi watoto wa wakulima hatuwezi kushangaa hiyo picha, obvious atakuwa ametokea shambani.
 
Huwezi fahamu labda anakaa mbali na akirudi usiku inabidi ajilinde na vijana wetu hawa wanaovuta bangi ambao hata bi kizee wenyewe twende tu.

Kwa bibi kama huyo kuipitisha utakuwa unampa maumivu tu, utahitaji softener ya hali ya juu.
 
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......

DSC05207.JPG

Hiyo inaonesha jinsi Ujambawazi ulivyokithiri Bongo, kila mtu anakuwa tayari kwa chochote kiwacho. Wenzetu wana sheria ya ku-carry & conceal ila kwa bongo unaonyesha waziwazi.
 
nyote mlochangia ni ndina hamjui chochote kile mnajifanya kuona kumbe hamuoni kitu maana huyo mama hana silaha hapo ila tu kachomeka mipira tu isiyokuwa na ncha yeyote ya makali
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom