Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Wadau nimekutana na hii picha mtandaoni.
Huyu mama alikuwa kwenye huduma ya matibabu ya watoto katika kijiji cha Mtakuja (Moshi vijijini). Sikuweza kupata jibu la haraka kwa nini awe na silaha kibindoni sehemu ambayo ilikuwa inatolewa huduma ya matibabu tena bure!!
Angalia......