ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,052
- 6,197
Pole ndugu makaburi yote yatakiwa kufukuliwa ndio tutaanza kupona.Off point.

Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wakurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze.Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la Mwananchi, nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wakurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze. Kwamba walitoa wapi pesa za kununulia hayo magari. Wakurugenzi hao ni wa halmashauri za Kahama, Chato, jiji la mwanza na Msalala.
Ghafla bin vuu nikakumbuka kuwa mkuu wa kaya mwenyewe aliwahi kukiri kuwa Watanzania sio wajinga na unapowaletea habari ambazo haziingii akilini watakaa kimya ila kumbuka watakuchora na kukusanifu kama katuni
Tujiulize kama watu wenye akili timamu, taratibu za kununua magari zikoje? Yaani mpaka hawa wakurugenzi wanaambiwa wajieleze,je hawakufuata taratibu?
Au ndio kuondoa aibu kisa tu Mkurugenzi wa Geita alisimamishwa kimakosa? Na hii ni baada ya wananchi kuona kuwa mkurugenzi hawezi kununua gari kwa maamuzi yake!
Kwa nini hii habari ya kuhoji gharama za magari ya wakurugenzi iwe sasa awamu hii tunapoenda kumaliza ngwe ya pili? Hapo mwanzo mbona ilikuwa kimya? Na tuliona karibu kila halmashauri zina Vx v8 yenye thamani zaidi mil 270!
Je, huku ni kujipaka matope au ndio kufukua makaburi?
Wakimaliza warudi kwa yule aliyenunua midege wakiwa 'chemba' na muuzaji. Taratibu za MANUNUZI zinasemaje?.Ila ngoja Uchunguzi ufanyike alafu tupewe report ndiyo tutajua nani mkweli kati ya PM na Wakurugenzi!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Watafitiana mwisho wataumizana wenyewe nasisi tutakaa kimya.Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la Mwananchi, nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wakurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze. Kwamba walitoa wapi pesa za kununulia hayo magari. Wakurugenzi hao ni wa halmashauri za Kahama, Chato, jiji la mwanza na Msalala.
Ghafla bin vuu nikakumbuka kuwa mkuu wa kaya mwenyewe aliwahi kukiri kuwa Watanzania sio wajinga na unapowaletea habari ambazo haziingii akilini watakaa kimya ila kumbuka watakuchora na kukusanifu kama katuni
Tujiulize kama watu wenye akili timamu, taratibu za kununua magari zikoje? Yaani mpaka hawa wakurugenzi wanaambiwa wajieleze,je hawakufuata taratibu?
Au ndio kuondoa aibu kisa tu Mkurugenzi wa Geita alisimamishwa kimakosa? Na hii ni baada ya wananchi kuona kuwa mkurugenzi hawezi kununua gari kwa maamuzi yake!
Kwa nini hii habari ya kuhoji gharama za magari ya wakurugenzi iwe sasa awamu hii tunapoenda kumaliza ngwe ya pili? Hapo mwanzo mbona ilikuwa kimya? Na tuliona karibu kila halmashauri zina Vx v8 yenye thamani zaidi mil 270!
Je, huku ni kujipaka matope au ndio kufukua makaburi?
" Ninawapa mshahara , magari , nyumba halafu muwatangaze wapinzani ! "Wakati yananunuliwa serikali ilikuwa wapi?
Msukuma yako sawa, anayo mabasi mengi zaidi ya 15 tuu, anazo helicopters, ana nyumba zaidi ya 300.ana, migodi mitatu. Msukuma billionaires.Ile v8 yake (msukusu) ni ya bei gani?
Angeanza mfano kama mbunge kutembelea bajaj kisha unafiki ukafuata.
Sidhani kama Mkurugenzi wa Geita alienda Toyota, akachagua gari alilolitaka halafu akachukua pro forma invoice ya gari analotaka halafu akawaandikia cheki ya malipo. Kama alifanya hivyo anastahili kweli kuchukuliwa hatua. Kama hakufanya hivyo basi kuna masuali kadhaa ambayo yanahitaji majibu kabla ya kumhukumu.Kitu usichokijua ni hii kauli ya kuwa mkuu wa kaya anafanya kila jambo, na wamekuwa wakimtuhumu kwamba amekuwa one man show,
Ki ukweli inawezekana katika office ya waziri mkuu ilipitisha haya magari lakini kwa kupitia wakasimu madaraka wa waziri hasa kwenye masuara ya ndani.
Pia nakumbuka haimashauli zilipangiwa kunukua magari nadhani yasiyozidi milioni 200 kama si 150 na ni zile toyota double cabin hilux sasa hawa wa kahama na geita wanafukuzana kununua magari hayo kwa faida ipi?
Nakumbuka kipindi cha kikwete watu walilalamika sana kuhusu magari ya bei kubwa, sasa iweje kwa mbana matumizi wewe ukanunue gari la bei kubwa lisilozalisha ni mapato tena ambalo haliwezi kusaidia hata kubeba madawa kupeleka kwenye kituo cha afya?
Hao kama wanadhami wao ni special sana basi watumbuliwe tu. Niliona gari la mkuu wa mkoa wa mara baada ya ile ya zamani kupata ajari wakamletea plado sas iweje mkurugeni atembee na ya 400 au 270 wakati mkuu wa mkoa ana ya chini ya 200? Nasema hao watumbuliwe tu kwa kuwa hawakutumia akiri kufikili.
Sasa wafanya biashara tunakamliwa pesa kisha mtu umekaa offisini na mshahara kutoka kwetu unalipwa kisha ujione bishoo wakati watu bado hawana maji?
Watumbuliwe tu waje tusaidiane kuzitafuta ili nao walipe kodi kwa kusumbua akiri.
Kwa hiyo mkuu mtu akivaa suti anapoteza sifa ya wizi, unyang'anyi, uhujumu au umiliki wa roho mbaya yenye chuki na wivu?Msukuma yako sawa, anayo mabasi mengi zaidi ya 15 tuu, anazo helicopters, ana nyumba zaidi ya 300.ana, migodi mitatu. Msukuma billionaires.
Michango ya wanachama wa Ccm,vyanzo vya mapato vya vitega uchumi vya Ccm nkYale Ma v8 ya Kijani wakati wa Kampeni yalinunuliwa na nani??
Awamu hii inataka fedha za kutoa hudumaNimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la Mwananchi, nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wakurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze. Kwamba walitoa wapi pesa za kununulia hayo magari. Wakurugenzi hao ni wa halmashauri za Kahama, Chato, jiji la mwanza na Msalala.
Ghafla bin vuu nikakumbuka kuwa mkuu wa kaya mwenyewe aliwahi kukiri kuwa Watanzania sio wajinga na unapowaletea habari ambazo haziingii akilini watakaa kimya ila kumbuka watakuchora na kukusanifu kama katuni
Tujiulize kama watu wenye akili timamu, taratibu za kununua magari zikoje? Yaani mpaka hawa wakurugenzi wanaambiwa wajieleze,je hawakufuata taratibu?
Au ndio kuondoa aibu kisa tu Mkurugenzi wa Geita alisimamishwa kimakosa? Na hii ni baada ya wananchi kuona kuwa mkurugenzi hawezi kununua gari kwa maamuzi yake!
Kwa nini hii habari ya kuhoji gharama za magari ya wakurugenzi iwe sasa awamu hii tunapoenda kumaliza ngwe ya pili? Hapo mwanzo mbona ilikuwa kimya? Na tuliona karibu kila halmashauri zina Vx v8 yenye thamani zaidi mil 270!
Je, huku ni kujipaka matope au ndio kufukua makaburi?
Kwanza ukumbuke hiyo VX-R inauzwa si chini ya USD 90. Hapo tayari ni M200 na ushee na bado hujalipa kodi ambayo nayo inafanana na bei ya gari. Ukitaka kuwatetea hawalazima uwe na roho ya paka. Wanatakiwa wafungwe na si kusimamishwa kazi tuu. Toyota Hilux D/Cabin M117 pamoja na kodi is enough kwa mkurugenzi na si zaidi ya hapo.Nimemaliza shughuli zangu za kila siku kama ilivyo ada nimechukua gazeti la Mwananchi, nashangaa kukuta hii habari, Waziri mkuu wa nchi yetu ambae ni mkuu wa shughuli za serikali ametoa amri kuwa wakurugenzi walionunua magari ya Sh 270 wajieleze. Kwamba walitoa wapi pesa za kununulia hayo magari. Wakurugenzi hao ni wa halmashauri za Kahama, Chato, jiji la mwanza na Msalala.