Huku ndio ushenzini kwetu

Hahahah sandton napajua mkuu

pole sana me nimeish karibia na hapo...mbele kidogo kuna ntaa unaitwa Mkungunu ni na expriance na madem wa manzese yan hilo picha umelivagaa vibaya...huo ndio mchezo wao...pole sana sasa nkufundishe kitu hapo kabla hawajakubakisha na hela ya bajaji..

agiza round 3 za mwisho af usilipe mwambie huyo dem uliemfata akuazime cm yake weka lain yako meambie unaenda kutoa hela pale tiptop af sepa hyo smu yake utafidia nadhan haitafika elf20....

mkuu niskize mm fanya usepe tena sasahv ...kuna mdada anaitwa zamda fuso yupo huko nimaarufu kwenye makundi ya kuwanywea watu bia..anakunywaga pipa mbili za safari
 
nimekusoma kaka, zamda namfahamu vilivyo, nimeshaondoka mitaa hiyo kwa amani kabisa, nimewaachia bili watajibeba, nilijifanya mjeda na nikaitwa jeshini kuna dharura
 
Kitambi noma..... Kitambi kimekuponza, sasa wanakukomesha
 
mie mzima ustaadhat...habari ya j'pili?

Ah salama tu mtumishi... Nahofia kuuchakaza uzi wa ndugu mshanajr sijui kama kashapata pa kutokea. Kama hana salio kwenye mpesa au tigo pesa leo wanaweza kuishia kuchonga viazi lol
 
mshana jr pole sana,nitumie pm namba yako ya simu nikupigie kuwa kuna ermergency nyumbani uje haraka sana!!
 
Last edited by a moderator:
Ah salama tu mtumishi... Nahofia kuuchakaza uzi wa ndugu mshanajr sijui kama kashapata pa kutokea. Kama hana salio kwenye mpesa au tigo pesa leo wanaweza kuishia kuchonga viazi lol

huyu mshana jr keshaliwa na watoto wa manzese, aka bikra wa manzese..
hata sijui kama atamlisha nini mkewe leo....70k kwishnei
 
Last edited by a moderator:
huyu mshana jr keshaliwa na watoto wa manzese, aka bikra wa manzese..
hata sijui kama atamlisha nini mkewe leo....70k kwishnei

hahahaaa Eli 79 unaniharibia ndugu yangu mamito akipita huku ndoa yangu itakuwa shakani
 
Last edited by a moderator:
Weka sheria, hapa ni mwendo wa bapa tu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…