- Thread starter
- #61
Hakika mkuu,inaweza kuwa.MABADILIKO YA TABIA YA NCHI LABDA
Hakika mkuu,inaweza kuwa.MABADILIKO YA TABIA YA NCHI LABDA
HahahahaNgoja waje buku saba watakwambia ni juhudi za serikali ya magufuli
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha
Ahsante kwa nyongeza mkuu..Hata ziwa Rukwa hali ni hiyo hiyo. Inaonesha mvua zimenyesha sana
Mpka mwaka huu uishe tutaona mengiWakuu Habari,
Siku za hivi karibuni tumesikia ziwa victoria liliongezeka kina cha maji na kupelekea maji kujaa(maafuriko) kwenye makazi ya watu. Ikumbukwe makazi ya watu yalikuwa zaidi ya mita 100 kutokea usawa wa ziwa.
Sasa hivi nasikiliza habari hapa, wanadai ziwa Tanganyika huko maji yameongezeka na kupelekea mafuriko kwenye makazi ya watu hali ambayo haijatokea kwa zaidi ya miaka 60
Sasa najiuliza, hii hali inatokana na nini? Kwanini mwaka huu ni maziwa yote?
Kuna nini huko maziwani mwaka huu?
Bado kuna taarifa nyingine kuwa ziwa Nyasa nalo lina daliliView attachment 1459614View attachment 1459615
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaishukuru serikali ya ccm kwa kusaidia kina cha maji kuongezeka kwenye maziwa yetuWakuu Habari,
Siku za hivi karibuni tumesikia ziwa victoria liliongezeka kina cha maji na kupelekea maji kujaa(maafuriko) kwenye makazi ya watu. Ikumbukwe makazi ya watu yalikuwa zaidi ya mita 100 kutokea usawa wa ziwa.
Sasa hivi nasikiliza habari hapa, wanadai ziwa Tanganyika huko maji yameongezeka na kupelekea mafuriko kwenye makazi ya watu hali ambayo haijatokea kwa zaidi ya miaka 60
Sasa najiuliza, hii hali inatokana na nini? Kwanini mwaka huu ni maziwa yote?
Kuna nini huko maziwani mwaka huu?
Bado kuna taarifa nyingine kuwa ziwa Nyasa nalo lina daliliView attachment 1459614View attachment 1459615
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo maeneo kiasili yalikuwa ni sehemu ya ziwa... Yalipotokea mabadiliko ya tabia nchi na ziwa kupungua kina watu wakaanza kuhamia huko mfano kabisa sisi kwetu Nyegina Musoma ... Baba mkubwa alihama kwa babu pale akahamia Itaro huko ziwani palikuwa pakavu kabisa sasa ni shidaaaa
Fidia?Pole sana mkuu,vipi kuna fidia yoyote mtapewa?
Kwa sababu hilo ni kama janga
Basi ni hatari sanaGlobal warming effects.
duuh basi kasi ya mabadiliko ya hali ya hewa yamekuwa makubwa sanaMpka mwaka huu uishe tutaona mengi
Hapa nilipo pia kuna kisima nacho kimejaa maji yanahamia kwnye makazi ya watu
HahahhaTunaishukuru serikali ya ccm kwa kusaidia kina cha maji kuongezeka kwenye maziwa yetu
Jr[emoji769]
basi itakuwa hali inataka kujirudia kama awaliHayo maeneo kiasili yalikuwa ni sehemu ya ziwa... Yalipotokea mabadiliko ya tabia nchi na ziwa kupungua kina watu wakaanza kuhamia huko mfano kabisa sisi kwetu Nyegina Musoma ... Baba mkubwa alihama kwa babu pale akahamia Itaro huko ziwani palikuwa pakavu kabisa sasa ni shidaaaa
HahahaFidia?
Hivi mkuu unaishi bongo hii hii au uko ma mbele?
teh tehNikajua ni mwanza tuu
Yani nimenunua maji ya Kilimanjaro Lita moja nimekuta yamejaa hadi juu
Hahah mkuu majibu atakayoyatoa bwn yule khs fidia utashangaa sana.Hahaha
...hilo janga mkuu,kama majanga mengine
Nikikumbuka alichowajibu wanaKagera ni sheeda!Hahah mkuu majibu atakayoyatoa bwn yule khs fidia utashangaa sana.