- Thread starter
- #41
Ooh sawa sawaVijito vidogo dogo vimejaa hivyo na maziwa lazima yajae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh sawa sawaVijito vidogo dogo vimejaa hivyo na maziwa lazima yajae
Hahaha..kweli kweli muhimuMkuu ukiona mtu wa dini dini anajenga safina tushtuane aiseee.
Maana hali inavyoelekea yale majanga ya wakati wa Nuhu kama yanataka kujirudia kwa kweli.
yan hapo ndo yamefikaa na majira ya mvua tena sio mbal na mvua za kanda ya ziwa mapema sana
Geography is a very comprehensive and broadly, be specific coz the guy needs to understand the causative of the phenomenon.It's just geography
Duh ivi hayo makazi itakuaje kwamfano hayo maji yakaamua kufanya makazi yakudumu hapo yani ikawa ndo forever hayapungui zaidi yakuongezeka
I couldn't explain the concept deeply so I assigned the task to those who are expert on it.Geography is a very comprehensive and broadly, be specific coz the guy needs to understand the causative of the phenomenon.
That's ain't bad. I already elaborated it in a post no. 46. Nothing big as it always happens when the weather changes dramatically.I couldn't explain the concept deeply so I assigned the task to those who are expert on it.
I get the point now👍👍That's ain't bad. I already elaborated it in a post no. 46. Nothing big as it always happens when the weather changes dramatically.
PamojaI get the point now👍👍
Wakuu Habari,
Siku za hivi karibuni tumesikia ziwa victoria liliongezeka kina cha maji na kupelekea maji kujaa(maafuriko) kwenye makazi ya watu. Ikumbukwe makazi ya watu yalikuwa zaidi ya mita 100 kutokea usawa wa ziwa.
Sasa hivi nasikiliza habari hapa, wanadai ziwa Tanganyika huko maji yameongezeka na kupelekea mafuriko kwenye makazi ya watu hali ambayo haijatokea kwa zaidi ya miaka 60
Sasa najiuliza, hii hali inatokana na nini? Kwanini mwaka huu ni maziwa yote?
Kuna nini huko maziwani mwaka huu?
Bado kuna taarifa nyingine kuwa ziwa Nyasa nalo lina daliliView attachment 1459614View attachment 1459615
Sent using Jamii Forums mobile app
Mto Nile unarudisha maji juuWakuu Habari,

HahaaaaaMaziwa pia yanaunga mkono JUHUDI za awamu....!
semper fidelis
Katika mabadiliko ya tabia nchi hilo ni jambo la kawaida sana aiseeDuh ivi hayo makazi itakuaje kwamfano hayo maji yakaamua kufanya makazi yakudumu hapo yani ikawa ndo forever hayapungui zaidi yakuongezeka
Nimeishi kule kwa miaka kadhaa hivi..Na kibaya zaidi ule mji upo kama bondeni vile..haswa maeneo ya Tembo Beach,njoo mwisenge yote + majita road ndio shida kabisa..siku maji yakijiadjust kdg tuu kila rangi wataisoma.Kwa taarifa yako,mwaka 1961 ziwa Victoria liliongezeka kwa kiasi kikubwa.Kuna maeneo mfano kutoka Musoma kwenda sehemu moja inaitwa Kinesi,kulikuwa na njia ya bara bara kupitia eneo moja linslojulikana kama Mwigobero.Ila mvua kubwa ilinyesha mfululizo kwa mwezi mzima.Eneo lote lilijaa maji na nyumba kufunikwa.Hadi ninavyoongea leo hayajawahi kuondoka bali kwa mvua za majuzi ziwa limeongezeka ukubwa.
Kuna siku mji wa Musoma utamezwa na maji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu,vipi kuna fidia yoyote mtapewa?