7 February 2023
Uvira, Kilomoni
Democratic Republic of Congo
Kina cha maji ziwa Tanganyika cha (vimba) ongezeka na kumeza makazi
Watu wahama makazi yao ya kifahari yaliyo karibu na ziwa Tanganyika kutokana na ziwa hilo kuongezeka kina na maji hayo ya ziada kuvamia maeneo ya pembeni ya ziwa hadi kufika katika ardhi za watu yalizojengwa makazi yao nchini DR Congo.
Source : ATLAS MEDIA