Baba mtakatifu91
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 3,582
- 7,452
Mwanamke atasaidiwa kipindi ambacho hajiwezi kama ujauzito ama akiwa mgonjwa. Kumpikia maanamke ni mwanzo wa kumtengenezea njia uyo mwanamke akutawala tu period.
Jukwaa linaitwa chitchatKumbe mwanetu unapiga kazi hadi unachoka. Naomba shavu basi
Mke wako atakula nini akirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
😂😂😂Vijana mnapenda kulelewa siku hizi.. Mpaka mnajiandaa kabisa kimapishi.. Kudadeki wallah
Huamini sioHata kama
Sema kweli auntNjoo nane8 Dodoma, nikupe hi
Utalipia ndege au nipande abood🤣Kweli
Ndio naduwaaKwahiyo mke wako anaenda kazini wewe unabaki nyumbani?
Wajinga hawa wapuuzií ½í¸í ½í¸í ½í¸