ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,456
- 41,378
Sijachoka🤣🤣Ila kazi za nyumbani haujachoka kufanya?
Sijachoka🤣🤣Ila kazi za nyumbani haujachoka kufanya?
Sio kazi kubwa ni kupika,kufua,kuosha vyombo,kufagia kudeki n.kSijachoka🤣🤣
Sawa mchumba🤣Sio kazi kubwa ni kupika,kufua,kuosha vyombo,kufagia kudeki n.k
Haina noma kama umekubali njoo PM tuyajenge.Sawa mchumba🤣
HakunaaaaaaaaaaHaina noma kama umekubali njoo PM tuyajenge.
Kwani kwa kuchelewa huwa anarudi saa ngapi?Mke wako atakula nini akirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Zamani kidogo, kuliwahi kuwepo trekta ziliitwa "kubota"- zilikuwa ni za kiJapan.Hadi ukweni ukienda utaachiwa KAZI,mkeo na mashemeji zako wanaamka saa 4,wewe unaamka saa 12 kuandaa chai na kufanya usafi.
Kwetu zipo.Zamani kidogo, kuliwahi kuwepo trekta ziliitwa "kubota"- zilikuwa ni za kiJapan.
Siku hizi sizioni tena.
Ukienda huko kwa Shesy kama ukweni, basi yafaa ujiandae kinamnaKwetu zipo.
Mke wangu tukienda nyumbn hakunakufanya chochote kwahiyo apikie watu ishirini kisa wanaangalia mke mwema??Hadi ukweni ukienda utaachiwa KAZI,mkeo na mashemeji zako wanaamka saa 4,wewe unaamka saa 12 kuandaa chai na kufanya usafi.
Kwa mwanaume unaweza kupika ukweni??Mke wangu tukienda nyumbn hakunakufanya chochote kwahiyo apikie watu ishirini kisa wanaangalia mke mwema??
Kila mtu ajipange sina mke wa kufia jikoni
Ukweni inategemea km sherehe sawa, nitasapoti ila sio nifie hapo na mpk waniombe km sio hamna,Kwa mwanaume unaweza kupika ukweni??
Sasa mkeo aje ukweni asubiri kuitwa😂😂🙌
Utoto raha sana.Mke wako atakula nini akirudi kwa kuchelewa kutoka kazini?
Loooh😂,,,kipi usiende ukweni?Ukweni inategemea km sherehe sawa, nitasapoti ila sio nifie hapo na mpk waniombe km sio hamna,
Ila umeenda tuu ety nipike aweeeh kwanza ukweni siendag
Ukweni unaenda Kuna sherehe, msiba, mgonjwa na mpk iwe serious sasa mm ukweni kila muda wakwe zangu wazungu wabongo hawataki uswahiliLoooh😂,,,kipi usiende ukweni?
Vizuri💯,Ukweni unaenda Kuna sherehe, msiba, mgonjwa na mpk iwe serious sasa mm ukweni kila muda wakwe zangu wazungu wabongo hawataki uswahili