Anaendana kivipi? Mbona Magu siyo mweupe,hajavua shati tuonee 10 packsHuyu ndiye mbabe Wa kivita ..
Huyu anaendana kabisa na jpm sasa mamvi anaweza kweli vitu kama hivi
Na marinda alikutatuaJamaa nilisoma nae primary, alikua mtata balaa.
Huyu dogo na ni shida....ila akibalehe ataacha utoto.View attachment 402953
Putin mbona mrembo kwa huyu, huyu aliwahi kumzingua hadi mkuu wao wa majeshi
Nilisoma nao UD hao🙂Hahahahaa...kumbe na hao kwenye avatar ni ndugu zako?
Huyo alitanguliza miguu wakati wa kuja duniani.Mkuu mawazo yakoyametawaliwa na marinda sana....tatizo nini?
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Jamaa nilisoma nae primary, alikua mtata balaa.