Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Nikweli nakubali mtu akikopa unampa lakini wao wanakuja na gia za uongo mara mama anaumwa yupo kalazwa, baada ya kusema ukweli wao uongo tu kila kitu,
Pesa ukimpa anaenda kutumia kwa matumizi ambayo si ugonjwa wa mama ake,

Acheni uongo,,, sijui kama mnanisikia huko nyuma dirishani?.
Mkuuu...Wewe ndo mkweli kushinda watu wote duniani...mtu akija na shida anauguliwa Wewe kama Ni wakumsaidia utamsaidia. Sasa unataka uchunguze akupeleke alipolazwa MGONJWA ndo umsaidie...

Unataka ukweli usioshaka ndo utao msaada.
ndo nyie mke ukimpa buku mbili..ikibaki hamsini unaitaka na asipokupa Ni Tatizo.

Ubahili
 
Usiingize wazazi kwenye issue kama hizi. Utaanzisha ugomvi usio na faida.

Mtazamo wake hauna shida kama aliyayapitia yanaelezeka.

Kama wewe umetulia na unaridhika na uliyenaye, basi hongera
Mimi sichukii wanaume..au kuwaona wabaya eti kwakua nlipataga shida.

Naamini wapo wema kabisaaa...
 
suala kubwa linaloongelewa hapa ni usaliti wanawake wamekuwa wanapenda ndoa lkn hawajui umuhimu wake wala kuilinda labda nikwambie kitu ktk kitu kinatuumiza mno mno na kinauma kuliko kufiwa na mzazi ni kutombewa mke na kubakwa kwa mwanao au mt amnajisi mtt wako wa kiume unaweza ukafanya ukatili mpaka watu wakashang'aaa kama ni wewe
Kwenye usaliti hadi wanaume wapo au unajaribu kusema kua ndoa zote zenye shida chanzo ni mwanamke?
Nadhani kila mtu (mume na mke) ajitafakari kwa nafasi yake jins gani ataboresha mahusiano au ndoa yake kuliko kutupiana lawama.
 
Mimi sichukii wanaume..au kuwaona wabaya eti kwakua nlipataga shida.

Naamini wapo wema kabisaaa...
Wanaume wema wapo wengi tu. Ila kuwapata ndio shida.

Hata wanawake wema wapo kwenye kuwapata ndio shida.

Unaweza ukakuta mwanamke mwema kakutana na mwanaume muovu. Atakachoweka kwenye akili yake ni wanaume wote waovu. Usiombe kila anapokutana napo ni paovu... basi ndio ataamini kuwa dunia nzima ndivyo walivyo.
 
Mkuuu...Wewe ndo mkweli kushinda watu wote duniani...mtu akija na shida anauguliwa Wewe kama Ni wakumsaidia utamsaidia. Sasa unataka uchunguze akupeleke alipolazwa MGONJWA ndo umsaidie...

Unataka ukweli usioshaka ndo utao msaada.
ndo nyie mke ukimpa buku mbili..ikibaki hamsini unaitaka na asipokupa Ni Tatizo.

Ubahili
So hivo lakini kuna mwingine unamjua kabisa huyu anacheza na akili yangu, na sio kwamba hadi nijue shida yake lakini kiukweli wanawake walio wengi washakuwa wahuni wahuni .
 
Kwenye usaliti hadi wanaume wapo au unajaribu kusema kua ndoa zote zenye shida chanzo ni mwanamke?
Nadhani kila mtu (mume na mke) ajitafakari kwa nafasi yake jins gani ataboresha mahusiano au ndoa yake kuliko kutupiana lawama.
nisawa ila asilimia kubwa ya wanaume akisaliti heshima na upendo upo pale pale kivumbi nyinyi sasa
 
labda nikwambie kitu lenie usaliti haujaanza leo ulikuwepo toka enzi lakin unatakiwa ucheze kwa step mwenzio co asijue tu ata kukutilia shaka kusiwepo lkn mtu akishaenda tiwa huko akapewa ambacho hapati huku anarudi na jeur hizo co za nchi hii kifupi nawanea huruma sana watoto wetu raha ya penzi hasa kwa sisi wanaume ule peke yako ingalau ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la cndano
Mtu anayemsaliti mume/mke wake na akamuonyeshea dharau za wazi huyo hana akili kabisa na ni mshamba. Siungi mkono kuchepuka maana mwisho wake hua sio mzuri ila tu muheshimu mwenza wako kama mtu umeshindwa kujizuia kutulia njia kuu.
 
nisawa ila asilimia kubwa ya wanaume akisaliti heshima na upendo upo pale pale kivumbi nyinyi sasa
Kuna wanaume wakipata pisi mpya basi ndo wanakesha huko nje, nyumbani wanarudi saa 8/9 huko usiku na yapo kwenye jamii yetu tunayaona.
Ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenzi wao.
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell
Mwanamke adiporidhika na Mungu hakuna starehe yoyote duniani itamridhisha
 
Kuna wanaume wakipata pisi mpya basi ndo wanakesha huko nje, nyumbani wanarudi saa 8/9 huko usiku na yapo kwenye jamii yetu tunayaona.
Ni wachache wanaweza kumaintain heshima kwa wenzi wao.
nikweli kabisa mkuu wapo ila ni wachache mno na wengine wanafanya hivyo kutokana na mauzi ya nymbn
 
Ukisema mwanamke pekee ndie haridhiki ni uwongo kwa kuwa hata sisi wanaumehaturidhiki cha muhimu haitakiwi kuaminiana bali inabidi kuaminishana kuwa mnapendana basi...mengine kumuomba MUNGU atupe wenza wema huku tukiwa wakwanza kujitakasa wenyewe kwa kuacha uasherati

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa ndiyo kwenye shida kuu hapa (tukilielewa somo hili kwa upana wake hivi vilio havitakuwepo kama si kufutika kabisa)
 
Yeah hiyo hiyo

Si Chemistry kimsingi Mwanamke ni package kubwa kubwa hivi ambayo ndani yake inavitu vingi ving, Kwahiyo ukiichukua inabidi uwe tayari kujitahidi kuangalia kila kimoja

Si kazi nyepesi
 
Back
Top Bottom