Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Yeye anafurahia maisha, atake nini tena mrembo wetu!?
Anafurahia wapi anaugulia maumivu tu ya ... Hana furaha Wala Amani anadhani solution Ni kuchukia wanawake na kulewa... Watu Kama Hawa hawanaga muda wakujitafakari wanaenda TU kibubusa
 
Yaani mi nikisikiaga tu hata demu ambae tunajuana tu si wapenzi, akiniambiaga nitumie 5000 au nikopeshe 10000 ntakurudishia hata sikumbuki huwa nawapa jibu gani,, maana nasikiaga kama ukakasi vile.

Mkuuu...huko Ni kukosa hela... Hata Mimi Sina hiyo elfu kumi yakukopesha... Ila ningekuwa nayo namtu anashida ningempa..
 
Huo uforever Young...ndo unao wapumbaza mlivyo wapumbafu ..mnakazanaga mwanaume hazeeeki.Fyi Nguvu huisha . .uzee upo ..maradhi yapo namithani mingine ya maisha ipo...

Mnajikuta nguvu zimewaishia hamna chamaana mlichofanya zaidi yakufukua mitaro na kujaza mavi kwenye njia ya mkojo....


Tafakari usiende kibubusa juha Wewe
Hili ndio gubu jamaa alilosema,kweli maji ya gundu aliona mbali
 
Mkuuu.... Mchukie Mama ako alokuzaa...kutuchukia sisi Wala haituongezai Wala kutupunguzia kitu..

Kama kufukua mitaro ndo kunaondoa chuki utafukua mitaro...Hadi kiama na Amani yaroho hutoipata
hiiiiiii apa nimekanyaga inaonekana ulikua na sumu ila ukawa huna pa kutolea
 
Mkubwa umenena ukweli sana.



Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi


Ninakamua dem mmoja ambae jamaa yake anamnyonya kikojoleo na mimi nilimwambia siwezi thubutu ujinga huo,, bado ananiletea kitu nakikula vizuri tu. Anatamani nimuoe wakati nimeshamwambia nina mke.
na we zamu yako itapita atakipeleka kwingine wala usojisifu sana

Kila nabii na zama zake
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell

Baba yako mpenzi wake wa kweli alikuwa Serengeti ya baridi? Kama Ndiyo usingezaliwa!
 
Masela,,naona tatizo kubwa lipo kwetu Wanaume tukibadilika mwanamke atabadilika pia amin hilo,,mwanamke ameumbwa kupitia ubavu wa mwanaume so wanatutegemea sana sis tubasilike tabia zetu za kifiraun girls watakuwa kwny mstari ni dada zetu,mama zetu,watoto wetu sis ndio vichwa vya familia
 
Jitahidi kumridhisha kadri uwezavyo hususani kumfikisha kileleni na kumfariji kwa uwepo wako tufanye attention flani hivi,hata ukinyang'anywa atakukumbuka mi kuna mmoja aliolewa na mwenye hela ila huwa ananikumbuka kwa nilivyokua namnyoa mavuzi na kumvalisha chupi na kumfungia blezia kwa nyuma baada ya kunyanduana na kumsifia kwa alichonipa.Ananiambiaga alizoea kuvulishwa kabla yaa ila ninieonakana namthamini hata baada ya ni mimi tuu
Yaani mpaka kesho tunapasha kiporo mme wake ananitambua kama binamu.
 
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
Kwani mtu sahihi ana TAG kichwani?
 
Back
Top Bottom