Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Kuna mwamba mmoja humu alisema wanawake wa jf wengi huwa wanakuwa na majibu ya hovyo, ya kihuni, ya kiburi na ya kipumbavu sana, sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini, ila nimeanza kuelewa sasa!
Hahahah ndio kwanza upo kwenye dibaji mzee baba, kuna malay... wana kauli mbovu humu kama sura zao 🤣🤣🤣 ila naamini ngunga zinachangia mapovu yao. Unajua KE asipotiwa mda mrefu anakuwa na hali ya gubu sana.
 
Hahaha ubaya hata matapeli wanaanzaga na chemistry ya hali ya juu!
Ndo life, ila mwisho wa siku mbivu na mbichi lazima zijulikane.
Vingine tunajitosa tu hivyo hivyo kwa imani maana tukisema tuogope kila kitu mtu si utakufa single jamani😄
 
q

Kwani kufa single ni dhambi 😂😂😂 kwahio bora liende tu
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell

Umenena ukweli yaani hawa ni kugegeda na kutatua marinda tuu hamna kipenda wala kuweka ndani
 
Mkuuu...huko Ni kukosa hela... Hata Mimi Sina hiyo elfu kumi yakukopesha... Ila ningekuwa nayo namtu anashida ningempa..

Nikweli nakubali mtu akikopa unampa lakini wao wanakuja na gia za uongo mara mama anaumwa yupo kalazwa, baada ya kusema ukweli wao uongo tu kila kitu,
Pesa ukimpa anaenda kutumia kwa matumizi ambayo si ugonjwa wa mama ake,

Acheni uongo,,, sijui kama mnanisikia huko nyuma dirishani?.
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell
Broh mwanamke anaweza kukuacha kwasababu hauna kazi. Ila pia mwanamke huyo huyo akakuacha kwavile uko busy na kazi.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell
Niamin Mwanamke anaridhika na akiridhika HAWEZ KAMWE KUKUSALITI.
 
q

Kwani kufa single ni dhambi 😂😂😂 kwahio bora liende tu
Nope sio bora liende, hiyo ni hatari zaidi. Umakini unahitajika, you need to be matured enough na ujue nini unataka kwenye mahusiano otherwise utabadili watu kila siku juu wewe mwenyewe hujajitambua.
I believe there are a lot of good people out there ni swala la kuwa na imani tu. Akikuumiza mmoja haimaanishi kua wote wa jinsia hiyo ni vimeo big NO
 
Mkuuu.... Mchukie Mama ako alokuzaa...kutuchukia sisi Wala haituongezai Wala kutupunguzia kitu..

Kama kufukua mitaro ndo kunaondoa chuki utafukua mitaro...Hadi kiama na Amani yaroho hutoipata
Usiingize wazazi kwenye issue kama hizi. Utaanzisha ugomvi usio na faida.

Mtazamo wake hauna shida kama aliyayapitia yanaelezeka.

Kama wewe umetulia na unaridhika na uliyenaye, basi hongera
 
Ndo life, ila mwisho wa siku mbivu na mbichi lazima zijulikane.
Vingine tunajitosa tu hivyo hivyo kwa imani maana tukisema tuogope kila kitu mtu si utakufa single jamani
suala kubwa linaloongelewa hapa ni usaliti wanawake wamekuwa wanapenda ndoa lkn hawajui umuhimu wake wala kuilinda labda nikwambie kitu ktk kitu kinatuumiza mno mno na kinauma kuliko kufiwa na mzazi ni kutombewa mke na kubakwa kwa mwanao au mt amnajisi mtt wako wa kiume unaweza ukafanya ukatili mpaka watu wakashang'aaa kama ni wewe
 
labda nikwambie kitu lenie usaliti haujaanza leo ulikuwepo toka enzi lakin unatakiwa ucheze kwa step mwenzio co asijue tu ata kukutilia shaka kusiwepo lkn mtu akishaenda tiwa huko akapewa ambacho hapati huku anarudi na jeur hizo co za nchi hii kifupi nawanea huruma sana watoto wetu raha ya penzi hasa kwa sisi wanaume ule peke yako ingalau ni ngumu kama ngamia kupita kwenye tundu la cndano
 
Back
Top Bottom