maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,096
- 4,758
- Thread starter
- #41
real mzeeOya skupingi mwanangu wa faida.. amini kwamba hawezi kuelewa mtu kama hajapitia situation..
kaza!! Tafta ela!
real mzeeOya skupingi mwanangu wa faida.. amini kwamba hawezi kuelewa mtu kama hajapitia situation..
kaza!! Tafta ela!
na sie tujitahd kuwatumia sana wakiwa na vishida vyao😂😂😂 na hawana huruma kwenye pesa,, utakamuliwa hadi mwenyewe utasema inatosha.
we mwanamke unaonekana una gubu sanaSasa mwanamke wako Hana shukurani.. unachukia wanawake wote na .hasira zako unaenda kufukua mitaro...
Huu ndo ubogus huu.
na sie tujitahd kuwatumia sana wakiwa na vishida vyao
Endelea kujilinganisha na wanawake, sie wanaume hatuna cha kupotezaUkisema mwanamke pekee ndie haridhiki ni uwongo kwa kuwa hata sisi wanaumehaturidhiki cha muhimu haitakiwi kuaminiana bali inabidi kuaminishana kuwa mnapendana basi...mengine kumuomba MUNGU atupe wenza wema huku tukiwa wakwanza kujitakasa wenyewe kwa kuacha uasherati
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu.... Mchukie Mama ako alokuzaa...kutuchukia sisi Wala haituongezai Wala kutupunguzia kitu..we mwanamke unaonekana una gubu sana
Huo uforever Young...ndo unao wapumbaza mlivyo wapumbafu ..mnakazanaga mwanaume hazeeeki.Fyi Nguvu huisha . .uzee upo ..maradhi yapo namithani mingine ya maisha ipo...Endelea kujilinganisha na wanawake, sie wanaume hatuna cha kupoteza
forever young
Kuna mwamba mmoja humu alisema wanawake wa jf wengi huwa wanakuwa na majibu ya hovyo, ya kihuni, ya kiburi na ya kipumbavu sana, sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini, ila nimeanza kuelewa sasa!Huo uforever Young...ndo unao wapumbaza mlivyo wapumbafu ..mnakazanaga mwanaume hazeeeki... Nguvu huisha . .uzee upo ..maradhi yapo namithani mingine ya maisha ipo...
Mnajikuta nguvu zimewaishia hamna chamaana mlichofanya zaidi yakufukua mitaro na kujaza mavi kwenye njia ya mkojo....
Tafakari usiende kibubusa juha Wewe
Kwaiyo...ulitaka nimsifie kwa kufukua mitaro..hayo ndo hua mnashangilia Sana..Kuna mwamba mmoja humu alisema wanawake wa jf wengi huwa wanakuwa na majibu ya hovyo, ya kihuni, ya kiburi na ya kipumbavu sana, sikumwelewa alikuwa anamaanisha nini, ila nimeanza kuelewa sasa!
Mkubwa umenena ukweli sana.Oya niadje wanangu
Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje
Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure
Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi
Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy
Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu
Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu
Tufanyaje sasa
Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao
Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani
Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta
Time will tell
Huwezi waelewa wanataka nini mana hata wao hawaelewi wanataka nini.Mimi mwenyewe sijawahi waelewa wanawake wanataka nini katika maisha ili wasikusaliti,
Chamhimu tukutane October 28 tuone nini cha kufanya.
Yeye anafurahia maisha, atake nini tena mrembo wetu!?Kwaiyo...ulitaka nimsifie kwa kufukua mitaro..hayo ndo hua mnashangilia Sana..
Nikweli wanaume hua wanaamini hawazeeki..hivi mtu wa Miaka 18 Ni sawa na wamiaka 50...
Mkiambiwa ukweli mnakuja na hoja za tuna kiburi.
huyu mleta bandiko ajitafakari hayo matendo Yake..hayana msaada kwake..kwa kizazi chake Wala kwataifa..
Hizi maneno tushazizoea.Wakati mwingine siajabu wewe ndio una matatizo, ila kwa kuwa hautaki kukubali unasingizia Wanawake, wapo Wanawake waliomizwa na Wanaume wabinafsi wagonjwa wa akili pia na wapo Wanawake na Wanaume wanaopendana, kuheshimiana na kuishi kwa furaha na amani.
Punchline.
Tatua matatizo yako kwanza, kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mwingine, ...
Hajapendwa Adam pale Eden utanipenda ww bhn.Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha