Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Huezi mridhisha mwanamke kamwe

Wakati mwingine siajabu wewe ndio una matatizo, ila kwa kuwa hautaki kukubali unasingizia Wanawake, wapo Wanawake waliomizwa na Wanaume wabinafsi wagonjwa wa akili pia na wapo Wanawake na Wanaume wanaopendana, kuheshimiana na kuishi kwa furaha na amani.

Punchline.
Tatua matatizo yako kwanza, kabla ya kuingia kwenye mahusiano na mwingine, ...
 
duuuh siajelewa moja kwa moja
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
 
Unaweza kusimamia ukucha katika show na ukajikunja kama korosho na hadi jasho kibao bila kusahau six packs lakini kesho ukasartiwa kwa muuza maziwa,,

Na hapo ndo utajua kuwa hizo ulizo nazo tumboni ni six parks au ni six paka.
 
Oya niadje wanangu

Ni hivi leo nna ka neno nataka share na nyie wanangu huenda kakawasaidia au Kaka wapotosha inategemeana utakatumiaje

Usijidanganye kua unaeza kumridhisha mwanamke kwa kumpa pesa, we tafuta tu pesa zikusave kwene majanga yako lakini usitegemee eti ukiwa na pesa ndo utamridhisha mkeo utakuja lia bure

Eti show heavy!!!! nan kasema we piga show heavy, nyonya vikojoleo as u can ila bado utaachwa tu huamini niulize Mimi

Eti maneno matamu, mbembeleze, msifie, mjali. utajisumbua tu mwanangu hawa viumbe hawaeleweki kama nyota utafanya yote hayo ila final utaachwa tu tena kwa shit heavy

Jitahidi kumfikisha kileleni ikiwezekana atangulie yeye kabla yako, broh pole sana kama mkikaa kwenye tuvijiwe twenu twa kahawa mnadanganyana hivo, endelea ila final atakucheat tu

Kila siku msuprise kwa kitu kipya ili asikuchoke mapema!!!! haaa nan kasema utachezea tu hela zako mwanangu na utapoteza mda wako mwisho wa siku anakuona boya tu

Tufanyaje sasa

Nsikize Mimi asa mwanangu, kwa kua ushajua hawa watu hawana shukrani we achana nao, ukiridhika wewe inatosha, mpenzi wa kweli ni Serengeti light ya baridi na mbuzi ila hao wengine wa kuwatumia tu kutokana na shida zao

Yaaani akija na shida yake unamtatulia afu final unamtatua na yeye marinda, maisha ndo yanataka hivo kwa watu wasio na shukrani

Kuna mjinga mmoja atasema mimi nimeumizwa sana kwaiyo saikolojia yangu imeharibika, nikeambie tu ukiona unatetea ujue bado hayajakukuta

Time will tell
Pole sana mkuu, ndio maisha hayo
 
Unaweza kusimamia ukucha katika show na ukajikunja kama korosho na hadi jasho kibao bila kusahau six packs lakini kesho ukasartiwa kwa muuza maziwa,,

Na hapo ndo utajua kuwa hizo ulizo nazo tumboni ni six parks au ni six paka.
oya hawa hawatabiriki kama ligi ya ingilandi
 
Hivi bado kuna jinsia ya me au ke hadi karne hii wanaamini hawasalitiwi kabisa na wapenzi wao?
Mwanamke wa sasa sawa na mwanaume tu anachiti kubadili ladha.
 
Mbona sisi hatuna shida kabisa ni vile tu mnatuelewa vibaya.
Hayo uliyosema yatatokea endapo upo kwa mahusiano ambayo sio sahihi ila ukiwa na mtu sahihi na mkapendana kwa dhati basi kila mtu ataridhika na mtafurahia maisha
Labda kwene series za kikorea
 
Sasa mwanamke wako Hana shukurani.. unachukia wanawake wote na .hasira zako unaenda kufukua mitaro...

Huu ndo ubogus huu.
 
Back
Top Bottom