Huenda watoto wakapungua Mashuleni

Huenda watoto wakapungua Mashuleni

Nyie ndo mnasababisha deni la taifa lifikie tilioni 27 kwakuongeza matumizi yasio ya lazima mtalilipa wenyewe na balozi wenu wa uswazi hapo.

Naona umeshindwa kutetea utafiti wako kwa data na findings zilizo na mashiko umebaki kwenye utetezi wa kibishi kutetea huu 'utafiti' wako!

Dhima ya 'utafiti' ni nini? Kunakuwa na haja gani ya kutumia nguvu kubwa kutetea utafiti kama ulifanywa kwa trend inayoelewa na kutoa majibu yenye mjumuisho wa jumla kwa size ya jamii au nchi husika?

What was your hiddening agenda kwenye huu utafiti wako? I can smell majina ya watu uliowatumia kwenye mifano yako kwenye huu utafiti!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Tutakuona maana tulikuwa timu ya watu 6 tulizunguka mikoa ya tanzania bara visiwani hatukuenda.

Shida sio kuwa watu 6, tatizo lipo kwenye reliabiliby ya hizo takwimu zenu. Tembelea wavuti ya NBS na uangalia takwimu zinazoelekeana na ukweli halisi. Miundo ya idadi ya watu katika nchi zinazoendelea ikiwamo tanzania ipo kama pyramid; na zaidi ya nusu ya watu ni wale walio na umri wa chini ya miaka 15. Huu ni ushahidi tosha kwamba tunazaa saanaa, tuna umaskini wa kutupwa, huduma mbovu za afya, n.k. ili kufidia vifo watu hujikutaa wanazaa zaidi hata bila ya wao kujitambua. Demographic transition mnayoiwaza wewe na hao wenzako watano (=6) bado sana kutoke kwa nchi za Kiafrika.
 
Naona umeshindwa kutetea utafiti wako kwa data na findings zilizo na mashiko umebaki kwenye utetezi wa kibishi kutetea huu 'utafiti' wako!

Dhima ya 'utafiti' ni nini? Kunakuwa na haja gani ya kutumia nguvu kubwa kutetea utafiti kama ulifanywa kwa trend inayoelewa na kutoa majibu yenye mjumuisho wa jumla kwa size ya jamii au nchi husika?

What was your hiddening agenda kwenye huu utafiti wako? I can smell majina ya watu uliowatumia kwenye mifano yako kwenye huu utafiti!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
Dhima ya utafiti nikuangalia kama watanzania hasa vijana wanajitambua napia wanajua kuwa wanawajibu wa kuijenga nakuiendeleza Tanzanzania ya sasa na ya baadae? Maana msingi wa maendeleo unaanzia ngazi ya familia hatimaye taifa zima.
 
Habarini ndugu zangu,
Kwanza kabisa nawapongeza wote mlio oa na kuolewa Mungu awabariki muendelee kuijaza nchi(kuzaa)
kama tulivyoagizwa.
Binafsi nimefanya utafiti nikagundua kuwa vijana wengi sasa hivi hawako tayari kuingia kwenye ndoa(kuoa au kuolewa)
kwa madai kwamba 1.Maisha magumu
2.Kutoaminiana kwa sababu ya maadili kuporomoka.
3.Wengine wanahitaji wapate maendeleo ndipo waoe au kuolewa.
Wasiwasi wangu baadae watotowatapungua kama sio kuisha kabisa kwa sababu hawatendelea kuzaliwa wengine, na
athari ambazo zitajitokeza ni kama zifuatazo
(1) kupungua kwa ajira kwa walimu hasa wa shule za awali(chekechea) na msingi
(2) kukosa nguvu kazi mpya katika jamii hivyo kukosa maendeleo na kukuza uchumi.
Mfano wa watu ambao hawataki kuoa ni mwanamuziki Dimond , Dr. slaa na wengine wengi. Hapo ndo mwisho wa utafiti
Toa ushauri wako.

Hahaha! una ushahidi kwamba Slaa na Diamond hawataki kuoa? Acha za kiudaku mjukuu wa BANSEN-BANA. au ndo utafiti wa kikasuku, mnafanya wanachokitaka wadhaminiwenu kaka?
 
Mbona utafiti unaonesha kuwa wanao ongoza kwa kuzaliana ni wale walio nje ya ndoa!
Mfano Katika watoto 30 wanao zaliwa hospitali ya muhimbili 20 wanazaliwa nje ya ndoa!

Huu uchunguzi wako hauna ukweli!
 
Hahaha! una ushahidi kwamba Slaa na Diamond hawataki kuoa? Acha za kiudaku mjukuu wa BANSEN-BANA. au ndo utafiti wa kikasuku, mnafanya wanachokitaka wadhaminiwenu kaka?
kama wameoa lete ushshidi na sio wanaume tu hata wanawke pia wapo ambao aidha hawataki au wanasema ngoja kidogo wakati umri unapita
 
Nina mashaka na huu utafiti..maana naona huko kinyume sanaa haswaa kwenye jamii zetu za tz
 
Kuzaa kwenyewe watoto wawili akizidi tatu au nne. Shule za english medium with time zitakosa wanafunzi.
 
Hiyo ni issue kwa nchi kama Japan ambayo population yake ina umbo la koni...couples hazitaki kuzaa, wakijitahidi basi mtoto mmoja...sasa watu wawili wana produce mtoto mmoja maanake wameshindwa kuji replace wakifa...sasa wanahofia university zao kukosa wanafunzi soon...
Kuna local governments zinatoa ela kwa wanaozaa kuwa encourage...ili ku promote population growth...

Nchi yao ina watu wengi kwa sasa lakini ni aged..walizaliwa 1940s (boom)

Watugee tu scholarships pande hizi...(na uraia lol)

Tanzania pia inakuja soon tusishangae.
 
Back
Top Bottom