Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) ni kikundi Cha wezi kinacholewa na Serikali

Retina

JF-Expert Member
Mar 6, 2015
1,038
1,154
Heslb wamekuwa wakikata hela hovyo Kwa watumishi wa umma hata Kwa watumishi wa umma wasio wanufaika au wanufaika waliomaliza madeni Yao ya Mikopo bila utaratibu.Inaonekana Hawana database ya wanufaika waliomaliza madeni hivyo hurusha jiwe,watakaolalamika ndio wanajua huyo hana hadaiwi au anadaiwa.
Sasa kama huna deni na wamekukata tatizo kurejeshewa Hela waliokata kimakosa (REFUND) wanakuambia uombe online usubiri miezi mitatu,Online ukiingia mfumo wao haukutambui unaandika (no credential active account)Ukiwauliza hawakupi majibu ya kutatua tatizo.
Binafsi Mimi naona Heslb ni wezi,wameamua kuwaibia watumishi wa umma,hatuoni wanaokiipata refund wale wote waliokata kimakosa.
 
wapeleke mahakamani
 
Back
Top Bottom