Che Guevara
JF-Expert Member
- May 22, 2009
- 1,236
- 346
SAUT sio cha kulinganishwa na UD bwana embu tuwe na adabu. SAUT kundi lake ni kina SJUT,UoI nk. UD Ilinganishwe na Makerere,Nairobi U,SUA nk......
Pia tukumbuke suala la muhimu UD=Jalalani
Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Nshaona kumbe wako wengi, we una akili sana utakuwa umesoma SAUT,maana UD ni chaka la wapumbavuHuu Uzi utanisaidia kuhesabu "Wapumbavu".
John pombeAnaewajua wasomi wa SAUT awataje ili tulinganishe
SAUT hawatukanwi kwa sababu hawajateuliwa katika nafasi hizo kama unavyoamini wewe.Katika Utafiti wangu mdogo tu na hasa kwa kumfuatilia Mheshimiwa Rais akiwa anachukizwa na Watendaji wake nikagundua kuwa wengi wao ni Wasomi wakubwa tu kutoka Chuo Kikuu cha UDSM ambacho huwa anapenda Kuwaokota huko mara kwa mara katika Teuzi zake Serikalini.
Na hata Uchunguzi wangu mdogo tu nimegundua kuwa wengi wa wale ambao Mheshimiwa Rais JPM amekuwa akiwatumbua na kuchukizwa nao kwa Utendaji wao mbovu pindi anapowateua ni kutoka hapo hapo UDSM.
Kuna Ubishani ambao nilikuwa nikiuona hapa Jukwaani kutoka kwa Members waliosoma UDSM na wale wa SAUT ila bahati mbaya sana Majina yao hao Members nimeyasahau lakini kuna Mmoja ni Mtetezi mzuri kabisa wa Chuo Kikuu chake cha SAUT ( nikimkumbuka nitamtaja ) alikuwa mara kwa mara akisema kuwa Chuo Kikuu cha UDSM sasa kimebaki tu Jina na wapo ambao walikuwa hawataki Kumuamini au Kukubaliana nae.
Kwa mtazamo wangu nadhani sasa mara baada ya Mheshimiwa Rais JPM kuwaita Mawaziri wake ambao ni Wasomi na Wanazuoni Waandamizi kabisa akina Kabudi na Mpango kuwa ni Wapumbavu katika Simu alizokuwa akiwapigia huenda hapa tayari lile Hitimisho la Chuo Kikuu gani bora kati ya SAUT na UDSM likawa limepatikana. Kwani sijawahi kuona Mheshimiwa Rais akiwatukana Wasomi wa SAUT bali naona kila mara akiwatukana tu wa UDSM.
Tujadili.
Kipo karibia mikoa yoteHivi hiki Chuo cha SAUT kipo Mkoa gani nchini Tanzania kwani nimekuwa nikisikia Watu wengi wakikitaja na wakikisifia kuwa ni Kizuri na kwamba Wanafunzi wengi wanaosoma na kutoka hapo huwa ni Werevu kupita wale wa Vyuo vingine vya Tanzania. Nauliza hivi kwakuwa Mimi sijabahatika kufika hadi Chuo Kikuu Kielimu kama wengi wenu humu au hapa.
Mpumbavu mwingine huyoooooo
Nyegezi, MwanzaHivi hiki Chuo cha SAUT kipo Mkoa gani nchini Tanzania kwani nimekuwa nikisikia Watu wengi wakikitaja na wakikisifia kuwa ni Kizuri na kwamba Wanafunzi wengi wanaosoma na kutoka hapo huwa ni Werevu kupita wale wa Vyuo vingine vya Tanzania. Nauliza hivi kwakuwa Mimi sijabahatika kufika hadi Chuo Kikuu Kielimu kama wengi wenu humu au hapa.
Tatizo lao hawajiamini, sasa Kabudi na usomi wote anasimama na kumsifu rais tu. Mpango naye kila sekta ya fedha inazorota, hamwambii kilaza wa masuala hayo wapi anaharibu kwa kutaka kila mtu aishi kama shetani, unafikiri ataitwa aje kama sio mpumbavu?Sawa je una maoni gani kuhusu Waheshimiwa na Wasomi Wanazuoni Waandamizi kutoka hapo UDSM akina Kabudi na Mpango kila mara Kuambiwa au Kutukanwa Wapumbavu katika Simu na Mheshimiwa Rais JPM kama alivyosema Yeye mwenyewe?
Yaani hapa Mkuu Genta umeshindwa kabisaa kujifichaHivi hiki Chuo cha SAUT kipo Mkoa gani nchini Tanzania kwani nimekuwa nikisikia Watu wengi wakikitaja na wakikisifia kuwa ni Kizuri na kwamba Wanafunzi wengi wanaosoma na kutoka hapo huwa ni Werevu kupita wale wa Vyuo vingine vya Tanzania. Nauliza hivi kwakuwa Mimi sijabahatika kufika hadi Chuo Kikuu Kielimu kama wengi wenu humu au hapa.