Huduma za Uber Dar hovyo, hakuna afadhali

Nawashukuru sana uber, tulikuwa na mgonjwa mahututi tuliwatafuta na dereva alikuja wakati muafaka kabisa na tuliokoa maisha ya mgonjwa...
 
lazima alipe hakuna ujanja.. taxify/ bplt unaweza ukabishana.. ila uber lazima ulipe.. maana huo sio uchakachuz.. alama za kuzidisha alizipuuzia mwanzoni anaita gari
Aisee mimi silipi,
Ilishawahi nikuta hii kutoka Posta hadi Upanga nilikua naenda kwa elfu 3 ikizidi 4,
Siku hiyo muhuni mmoja akanihisi wa kuja ananionesha kitu kinasoma elfu 17, lol
Hakukua na folen wala chochote nikamwambia babuu iliyozidi utaongezea me yangu hii hapa elfu 3, akataka kubisha nikamwambia anireport, akanywea ooh basi fresh itakua imekula kwangu leo, Akakunja elfu 3 yake.
 
Mkuu sidhani kama hili ni sahihi. Kwa sababu wote inasoma hesabu kwenye simu ya dereva na kwenye simu ya abilia.

Ni sahihi mkuu. Wenyewe wanaita kutingisha dish. Especially kwa simu za Androids ambazo zina Power Saver.

Mkianza tu Trip anaweka Power Saver ON ambayo kwakua inataka kupunguza matumizi ya battery kwenye simu yako basi itazima GPS (Location) hivyo accuracy ya njia uliopita kufika point B kutoka point A inakua inakadiriwa tu.
 
Tatizo kukataa ni ngumu maana fedha taslimu lazima TALLY kwa sim yako na yake, sasa hapo kukataa inakuwa ngumu sana. Labda hii elimu ya kutingisha dish iwekwe kimapana maana uzuri ni kuwa kwa wabongo kila techologia inayokuwa wanachofanya ni kuchakachua ili WAFAIDIKE. Mwenye hii elimu aweke mezani please
Lakini pia sijui kama tunajua elimu ya 1x1.5 ambayo UBER wanakupa pale endapo maderva wapo wachache na wahitaji wapo wengi kama inaeleweka na wengi
 
Ni kweli bro. Hizi huduma Wabongo wanatafuta njia ya mkato ili wapate faida.

Ila ukiwasiliana na customer care ukaomba waipitie vizuri route yako (muda wa kuanza safari na wakufika na umbali) wanakufanyia refund.

Pia dawa ya hao madereva ni kuwapa rate ndogo ili Uber wawatilie mashaka.
 
Aisee mimi silipi,
Ilishawahi nikuta hii kutoka Posta hadi Upanga nilikua naenda kwa elfu 3 ikizidi 4,
Siku hiyo muhuni mmoja akanihisi wa kuja ananionesha kitu kinasoma elfu 17, lol
Hakukua na folen wala chochote nikamwambia babuu iliyozidi utaongezea me yangu hii hapa elfu 3, akataka kubisha nikamwambia anireport, akanywea ooh basi fresh itakua imekula kwangu leo, Akakunja elfu 3 yake.

Kama UBER na shangazi yao wasipowathibiti hawa wachakachuaji hii huduma haina maana tena zaidi ya wizi. Ugumu unakuja pale ambapo gharama ya malipo inaonyesha kwake na kwako, inahitaji akili ya ziada kupambana
 
Aisee mimi silipi,
Ilishawahi nikuta hii kutoka Posta hadi Upanga nilikua naenda kwa elfu 3 ikizidi 4,
Siku hiyo muhuni mmoja akanihisi wa kuja ananionesha kitu kinasoma elfu 17, lol
Hakukua na folen wala chochote nikamwambia babuu iliyozidi utaongezea me yangu hii hapa elfu 3, akataka kubisha nikamwambia anireport, akanywea ooh basi fresh itakua imekula kwangu leo, Akakunja elfu 3 yake.
Kweli hii inawezekana 3000 si hata boda boda haendi, ukifanikiwa kumiliki gari huwezi toa 3000.
 
Mmh mbona mimi juzi nimetoka Buguruni kwa mnyamani mpaka mbagala kwa sh 8,867/= tu...wakati tax ningechajiwa si chini ya sh elfu 15 muzi,
 
Waswahili bwana, siku ukipanda ukafikishwa unakoenda halafu ikasoma 0 au 2,000 sijawahi kuona mada ya kumsikitikia dereva na mafuta yake ila ikitokea mkalipa 3000 zaidi hadi wanaume wanalialia kama mc pilipili.
 
Ok Nategemea saa ingine kama mteja Una offer na sio wakati wote
Walalamikie uber, nililipa safari 29000 wakati estimate was 16000 nikawaandikia wakarudisha 12000, ila inaingia kwenye acc yako ya uber.
Mmh mbona mimi juzi nimetoka Buguruni kwa mnyamani mpaka mbagala kwa sh 8,867/= tu...wakati tax ningechajiwa si chini ya sh elfu 15 muzi,
 
Kwa hapa dar sidhani kama kuna sehemu utaenda kwa 72 elf aisee..ulitoka mjini hadi chalinze au
Mimi pia nimeshangaa unless walipita njia inatatizo wakasimama kwa masaa hilo eneo
 
Wewe ni bolt unataka kuwaponda uber. Hapa mjini hakuna zaidi ya uber.

Ungesema wazi mimi natangaza bolt ila mbinu uliyokuja nayo ni ya kiboya.

Bolt wezi wakubwa, wanachezesha madishi na pia customer care mbovu, ukilalamika nauli hurudishiwi ila uber ukilalamika tu unarudishiwa nauli yako.

Tafta namna nyingine ya kuponda uber ila sio hiyo.

Tutumie ramani yako tuone safari yako kama sio umbea tu qu*****e zako.
 
Mbona huwa natoka Tabata hadi Posta kwa Tsh 8000/- tu? Na unakuta kuna kafoleni fulani. Sasa hiyo 72 nadhani ni ruti ya kwenda mkoa kabisa
 
Wewe ni bolt unataka kuwaponda uber. Hapa mjini hakuna zaidi ya uber.

Ungesema wazi mimi natangaza bolt ila mbinu uliyokuja nayo ni ya kiboya.

Bolt wezi wakubwa, wanachezesha madishi na pia customer care mbovu, ukilalamika nauli hurudishiwi ila uber ukilalamika tu unarudishiwa nauli yako.

Tafta namna nyingine ya kuponda uber ila sio hiyo.

Tutumie ramani yako tuone safari yako kama sio umbea tu qu*****e zako.
Mkuu hii kitu ipo. Juzi natoka Airport hadi mbezi beach nilipocheki wakati narequest ikaonyesha 14k-16k. Jamaa ananishusha ikaja 56k. Imesoma kwake na kwangu, nikiangalia route tuliyopita ni tofauti kabisa na uhalisia. Nikamwambia nakupa 30k na nareport Uber maana haikuwa kawaida. Niliporeport uber wakanirudishia 12k. Hapo juu kuna mdau amaeeleza hawa madereva wanaweka save mode nakubaliana nae maana hata wakati anakuja app haikuwa inaaupdate kama yuko pale.
 
Asante sana umesema kinagaubaga, nimejifunza mambo kadhaa
  1. Madereva kupita route ndefu ambayo haijapendekezwa na UBER inaongeza gharama
  2. Kukiwa na trafic jam ukatumia muda mwingi, hapo cost imekula kwako
  3. Madereva wa UBER kuchezesha dish kwa kuweka save mode umeumizwa
  4. Ukitafuta uber kwenye mtandao ukakuwa zipo chache wakaleta hesabu ya x1.5, x1.7 ukikubali ku-request hapo utalipa parefu
  5. Nafurahi kusikia UBER wanarudisha chenji kwenye account yako kama jamaa wamecheza rafu
 
Back
Top Bottom