Huduma ya ushauri wa kisaikolojia na mahusiano!

BioPsychologist

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
724
1,014
Husika na kichwa cha habari hapo juu!

Pata ushauri nasaha kuhusu matatizo ya mahusiano ya aina yeyote, malezi ya watoto, kuacha matumizi ya madawa ya kulevya na pombe,msongo wa mawazo unaoletelezwa na sababu mbalimbali n.k

Mhusika aje PM, anatakiwa kuchangia kiasi kidogo tu kwa ajiri ya bundle na mda, nakaribisha mwenye uhitaji tu!

Karibuni!
 
Unatafuta vagina kijanja
Sikushangai maana na wewe hapo ndipo mwisho wako wa kufikiria ulipo ishia,nmekusamehe bure na nimeamua kukaa kimya

Arafu naona haya kukujibu vibaya maana nakufahamu mkuu

!
bae10364703d6e690c08a3c11e8e6712.jpg
 
Sawa mkuu, wengine matatizo yamesababishw na hii serikali iliyoko madarakani, bado tunajaribu kujipa moyo kidogo.

Nimeipenda approach yako ya kusaidia watu, kwani vifo visivyotarajiwa vina kuwa vingi sana.
 
Mkuu kuna baadhi ya nyuzi zako unasema watu wakuulize maswali hafu unapotea mazima hii imekaaje
 
Mkuu kuna baadhi ya nyuzi zako unasema watu wakuulize masawali hafu unapotea mazima hii imekaaje
Ni nyuzi moja tu niliyowahi kutoa nafasi ya kuulizwa swali kwa kila mmoja na bila shaka nilijibu maswali yote isipokuwa kama MTU aliuliza maswali zaidi ya moja sikuweza kuyajibu yote Bali nilijibu swali la kwanza la muuliza swali!

Tangia hapo sijapata lalamiko LOLOTE hasa kwa wale walioelewa maana ya statement yangu iliyokuwa imetanguliwa na haya maneno "Uliza swali lolote"

Sawa mkuu!! Pamoja!
 
Yeah nenda PM ukatoe "kiasi kidogo tu" cha pesa/hela/fedha kwa ajili ya Bundle/Kifurushi
Kama huduma imeshindikana kutolewa humu kwenye jukwaa huru na tukashirikiana mawazo itakua huko pm?? Cha msingi angesema walau ana office sehemu gani watu wamfuate officialy
 
Kama huduma imeshindikana kutolewa humu kwenye jukwaa huru na tukashirikiana mawazo itakua huko pm?? Cha msingi angesema walau ana office sehemu gani watu wamfuate officialy
Ofisi ipo lakini siwezi kuanika hapa ofisi yangu maana sio wote wana nia kama yako, kikubwa ukija nitakupa maelekezo yote , sawa mpendwa!
 
Husika na kichwa cha habari hapo juu!

Pata ushauri nasaha kuhusu matatizo ya mahusiano ya aina yeyote, malezi ya watoto, kuacha matumizi ya madawa ya kulevya na pombe,msongo wa mawazo unaoletelezwa na sababu mbalimbali n.k

Mhusika aje PM, anatakiwa kuchangia kiasi kidogo tu kwa ajiri ya bundle na mda, nakaribisha mwenye uhitaji tu!

Karibuni!
Mimi nahitaji huduma
 
Back
Top Bottom