Felician Paschal
Member
- Aug 15, 2015
- 17
- 11
Watu hawapendi mabadiliko lakini mabadiliko hua ni ya lazima. Tembeeni muoni watu wengine wanasomaje na wanaishije, je tumewazidi maendeleo? Tumewazidi ugunduzi?
Mfano USA mwanafunzi wa MPH wakati wa exam ya Biostatistics anapewa hadi formular kwenye pepa yake, yeye ni kufanya computational tu. Inabidi saa nyingine tukubaliane na mabadiliko siyo kila anayesoma masters anataka kwenda kufanya tafiti au kufundisha.