Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hi Wana JF
Tanzania tuko na mitandao mitatu ya simu inayo toa huduma ya internet.Kati ya hiyo ni upi ambao huduma zao ni faster sana.
Na rate zao ni sh ngapi kwa KB or MB kadhaa?..nafahamu kuwa ufungua website yenye image kubwa ndipo pesa hutumika nyingi.
Je ukitaka kuwa na huduma ya internet kwenye laptop yako home ni kifaa ngani unachokuwa unatumia.Please kama kuna mtu anatumia internet via mtandao mmojawapo wa simu naomba anisaidie.
Some time unapokuwa out of the office au wakati wa likizo unakosa habari muhimu kwenye internet or JF kuchangia mada kwa kuwa internet huna.
NB:Nataka kuwa natumia kwenye laptop.Sio simu ya mkononi.
Regards