Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,597
- 22,338
- Thread starter
- #601
Inawezekana iwapo ni network locked - Utanipa jina la mtandao iko locked sambamba na imei numberIpone 5a unaweza unlock,kama poa niambie nikuletee
Haiwezekani iwapo ni iCloud locked - wasiliana na aliyekupatia (mmliki wa kwanza) akupatie icloud id iliyokuwa ikitumika.